kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Kiufupi kabisa kama umetengeneza youtube channel baada ya 2015 na bado haujaanza kuingiza hela kafanye kitu kingine tu coz hela ya YouTube channel ni ngumu mno kwa sasa. Hii imesababishwa na kukazwa kwa terms zao.
Wale mnaodhan kina millard wanaingiza hela ndefu kupitia youtube ads nadhan inabidi mfuatilie tena coz anaweza kuwa anaingiza income kwa matangazo anayoweka yeye mwenyewe directly kama yale ya vodacom na gsm ila sio yale ya youtube directly.
Mfano mzuri ni hii channel ya SIMULIZI NA SAUTI ina subs zaidi ya laki saba lakini bado wanaomba misaada kwenye YouTube channel yao.
Hii pia nilishaiona kwa Millard Ayo mara kadhaa.