kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
mkuu ungesema mwanzo walikuwa wakipata net income ya kiasi gani na sasa hali ipoje ili tupate picha halisi. Figures can speakKiufupi kabisa kama umetengeneza youtube channel baada ya 2015 na bado haujaanza kuingiza hela kafanye kitu kingine tu coz hela ya youtube channel ni ngumu mno kwa sasa. Hii imesababishwa na kukazwa kwa terms zao.
Wale mnaodhan kina millard wanaingiza hela ndefu kupitia youtube ads nadhan inabidi mfuatilie tena coz anaweza kuwa anaingiza income kwa matangazo anayoweka yeye mwenyewe directly kama yale ya vodacom na gsm ila sio yale ya youtube directly.
Mfano mzuri ni hii channel ya SIMULIZI NA SAUTI ina subs zaidi ya laki saba lakini bado wanaomba misaada kwenye youtube channel yao.
View attachment 1690704
Hii pia nilishaiona kwa millardayo mara kadhaa.
Sijajua exact figures lkn hio hali ya kuanza kuomba misaada inaonesha wazi mambo yameenda ndivyo sivyomkuu ungesema mwanzo walikuwa wakipata net income ya kiasi gani na sasa hali ipoje ili tupate picha halisi. Figures can speak
Pesa inayotokana na matangazo ya Google haitoshi kuendesha Channel kubwa kama hizo.Kiufupi kabisa kama umetengeneza youtube channel baada ya 2015 na bado haujaanza kuingiza hela kafanye kitu kingine tu coz hela ya youtube channel ni ngumu mno kwa sasa. Hii imesababishwa na kukazwa kwa terms zao.
Wale mnaodhan kina millard wanaingiza hela ndefu kupitia youtube ads nadhan inabidi mfuatilie tena coz anaweza kuwa anaingiza income kwa matangazo anayoweka yeye mwenyewe directly kama yale ya vodacom na gsm ila sio yale ya youtube directly.
Mfano mzuri ni hii channel ya SIMULIZI NA SAUTI ina subs zaidi ya laki saba lakini bado wanaomba misaada kwenye youtube channel yao.
View attachment 1690704
Hii pia nilishaiona kwa millardayo mara kadhaa.
mkuu ili uweze kulipwa hiyo 600000-800000 ni lazima uwe na Viewers Milioni 1?Pesa inayotokana na matangazo ya Google haitoshi kuendesha Channel kubwa kama hizo.
Mfano: Kama Watembeleaji wako ( audience ) ni wabongo, ukipata views 1,000,000 unapata kama Tsh 600,000-800,000 na hapo kwa Wasanii wengi hawaipati hiyo pesa directly.
Channel zao zinaendeshwa na watu wa kati ( middle men ). Hivyo ku a mgawo tena.
Sasa kwa mfano hao Simulizi na Sauti content zao nyingi hazifikishi views 1M na wapo wengi. Hivyo kuomba donation ni njia mmojawapo ya kusaidia waendelee kufanya kazi if at all unapenda kuona wanachokifanya na hupendi waache kwa kushindwa kujiendesha.
Sometimes donation ni kawaida, hata Wikipedia inajiendesha kwa Donation lakini ingeweza ku quit au kuanza kuchukua ads.
Yes, ila hayo ni makadirio.mkuu ili uweze kulipwa hiyo 600000-800000 ni lazima uwe na Viewers Milioni 1?
Asee kwa hiyo less than 1M viewers hupati chochoteYes, ila hayo ni makadirio.
Unalipwa ukifisha $100 ( Tsh 230,000 ) haijalishi umeweka video ngapi. Hata kama ni kwa video moja umefikisha hiyo utalipwa.Asee kwa hiyo less than 1M viewers hupati chochote
Sio kwel, unavosema video moja ifikishe views milion moja ndo upate iyo lak sita, piga hesabu zako vizur mfano mimi nimepublish video Kumi kwa siku video tano zikapiga views lak mbili mbili it means ndani siku moja nimepiga views milion kwa mwez mzima nikipuplish video tuseme miatano kwa channel kubwa kama izo wana uwezo wa kupiga views milion hadi milion 10 kwa mwez aya piga izo laki sita sita zako kwa mwezmara views milion 10, unapata sh ngap si milion sita, milion sita kwa mwez ushindwe kuendesha channel na ayo ni makadirio tu watu wanpiga hadi milion kumi kwa mwez na apo ni ela ya google tu,Pesa inayotokana na matangazo ya Google haitoshi kuendesha Channel kubwa kama hizo.
Mfano: Kama Watembeleaji wako ( audience ) ni wabongo, ukipata views 1,000,000 unapata kama Tsh 600,000-800,000 na hapo kwa Wasanii wengi hawaipati hiyo pesa directly.
Channel zao zinaendeshwa na watu wa kati ( middle men ). Hivyo ku a mgawo tena.
Sasa kwa mfano hao Simulizi na Sauti content zao nyingi hazifikishi views 1M na wapo wengi. Hivyo kuomba donation ni njia mmojawapo ya kusaidia waendelee kufanya kazi if at all unapenda kuona wanachokifanya na hupendi waache kwa kushindwa kujiendesha.
Sometimes donation ni kawaida, hata Wikipedia inajiendesha kwa Donation lakini ingeweza ku quit au kuanza kuchukua ads.
Kwanza unachanganya, huwezi ongelea wikipedia na youtube channel kwa kuziweka kwenye category moja kwa sababu wikipedia haimiliki contents zilizomo mule kwa sababu zile contents zimeandikwa na watu wengi, kwa maneno mengine hata wewe unaweza kwenda ukaandika kitu wikipedia na ukawa mmoja ya wamiliki wa hizo contents. So organization inayosimamia wikipedia haifanyi monetization yyt kupitia wikipedia kwa sababu italeta mkanganyiko sana coz contents sio zao bali ni za wadau, unless wawe na njia ya kugawana hayo mapato na wadau. Ili kuondoa shida zote hizo ndio maana Wikimedia Foundation(Msimamizi wa wikipedia) hawamonetize contents za wikipedia. Lakini kwa kuwa wikipedia inahitaji servers za kufanya hosting ya hizo contents ndio maana wanatumia njia ya kuomba funds kutoka kwa watumiaji wao. So nadhan unaona utofauti uliopoPesa inayotokana na matangazo ya Google haitoshi kuendesha Channel kubwa kama hizo.
Mfano: Kama Watembeleaji wako ( audience ) ni wabongo, ukipata views 1,000,000 unapata kama Tsh 600,000-800,000 na hapo kwa Wasanii wengi hawaipati hiyo pesa directly.
Channel zao zinaendeshwa na watu wa kati ( middle men ). Hivyo ku a mgawo tena.
Sasa kwa mfano hao Simulizi na Sauti content zao nyingi hazifikishi views 1M na wapo wengi. Hivyo kuomba donation ni njia mmojawapo ya kusaidia waendelee kufanya kazi if at all unapenda kuona wanachokifanya na hupendi waache kwa kushindwa kujiendesha.
Sometimes donation ni kawaida, hata Wikipedia inajiendesha kwa Donation lakini ingeweza ku quit au kuanza kuchukua ads.
Kasome terms za youtube wewe usidanganye watu hapaYes, ila hayo ni makadirio.
Kasome terms za youtube wewe usidanganye watu hapa
Kwanza sio kila view inaleta money. User akiclick "skip ad" kabla ya kuona video yako ujue hio view haisabiki.
soma hapa
How much do YouTubers make? 2023 facts and figures
Wondering how much YouTubers make? On average, a YouTuber makes $0.018 per view or $18 per 1,000 views.mint.intuit.com
Kiufupi kwa channel ambayo tayari inaruhusiwa kufanya monetization(Kwanza kufikia hii step ni balaa) mmiliki anaweza pata dola 18 kwa 1000 views(view ambazo user aliangalia tangazo au aliclick tangazo) kumbuka sio kila view mkuu. So mtu akipata 1M view na tukaasume wote wali-interact na tangazo(japo ni future IMPOSSIBLE tense) basi atapata $18 * 1000 ambazo ni dola 18000.
Hio dola 18000 ni kwa 1M views ambazo zote watu wameangalia tangazo au kuclick. Lakini unadhan kupata waangaliaji wa tangazo ni rahisi? Unakuta mziki una 2M views lakini waliovumilia kuangalia tangazo ni kama watu elfu mbili tu so mmiliki anapata 2 * $18 ambazo ni dola 36(hii inaishia kwenye bundle tu la kumanage hio channel)
ExactlyMimi matangazo siyaoni niliyablock, kumbe nawakosesha pesa.