Yuri G
Member
- Aug 7, 2011
- 87
- 14
- Thread starter
- #21
nafikiri wadada huvutiwa na mwanaume anayeonyesha uchangamfu na kujali. Pia hupenda watu wacheshi, so ukiwa umetulia halafu ndo hivyo huchangamki unakosa mvuto! Samahani sana!
unajua wa2 hamkunielewa nilivyoseama kutulia sio kuwa mkimya ninamaana ukiwa ndani ya uhusiano upendi kuangaika ndo ur altitude.