mmmh wewe kaka wewe ..... loh am speechless kwa kweli ..... umewekwa kwenye chupa au?MATOLA....Ni kweli kanunua gari tayari na naliona lina park jion na kuwashwa asubuhi kaka.......na kama nilivyosema hapo juu kuanzia mwanzo mikakati yote kuhusu huo mkopo tulikaa wote pamoja na tukakubaliana kwa pamoja kwamba we are going to do ONE,TWO AND THREE.........Lakini baada ya kuupata tu mambo yakawa UPSIDE DOWN........and she never cares
Kwa mimi ambaye namiliki gari/magari tangu mwaka 1997, ninakwambia huyo mke wako hajui lolote kuhusu kumaintain gari, yeye anadhani kuvaa miwani ya juwa na kukoleza lipstic huku yupo kwenye kiyoyozi basi amemaliza!!MATOLA....Ni kweli kanunua gari tayari na naliona lina park jion na kuwashwa asubuhi kaka.......na kama nilivyosema hapo juu kuanzia mwanzo mikakati yote kuhusu huo mkopo tulikaa wote pamoja na tukakubaliana kwa pamoja kwamba we are going to do ONE,TWO AND THREE.........Lakini baada ya kuupata tu mambo yakawa UPSIDE DOWN........and she never cares
Nakwenda offline mara moja kuna demu nimemtumia vocha jana usiku naona saa hizi ananibeep ngoja nimpakie maneno yake nitarudi hapa. ngoja kwanza nikomeshe tabia mbovu upande wangu halafu nitarudi hapa kuchangia.mmmh wewe kaka wewe ..... loh am speechless kwa kweli ..... umewekwa kwenye chupa au?
acha kutuzingua bwana ....Smile jana tu tayari nilimsikia akiweka order ya gawn kuwa next week anasimamia harusi...........ambayo I have never heard it before
ahahaaa hapo kaingia choo cha wazee ....Nakwenda offline mara moja kuna demu nimemtumia vocha jana usiku naona saa hizi ananibeep ngoja nimpakie maneno yake nitarudi hapa. ngoja kwanza nikomeshe tabia mbovu upande wangu halafu nitarudi hapa kuchangia.
yaani maelezo yako hayatofautiani na kaka mmoja hivi,na yeye alikubaliana na mke wake kuhusu mkopo,matokeo yake mke kapata kanunua gari,nyodo zimekuwa nyingi mno.hiyo gari bwana haipandi.hizi ndoa hizi,ingawa wanawake wengi hulalamika,ila wapo wanawake ambao,huwapa mateso waume zao.maana huyo kaka,saa nyengine mbele za watu huumbuliwa na mke wake.huyo kaka ni mkimya,mke maneno mtindo mmoja,na wako ofisi moja.kuna siku alikunjwa shati mbele za watu na mke wake.just imagineMATOLA....Ni kweli kanunua gari tayari na naliona lina park jion na kuwashwa asubuhi kaka.......na kama nilivyosema hapo juu kuanzia mwanzo mikakati yote kuhusu huo mkopo tulikaa wote pamoja na tukakubaliana kwa pamoja kwamba we are going to do ONE,TWO AND THREE.........Lakini baada ya kuupata tu mambo yakawa UPSIDE DOWN........and she never cares
mmmh wewe kaka wewe ..... loh am speechless kwa kweli ..... umewekwa kwenye chupa au?
haya siyaafiki ..... haya peleka saudi arabia huko....Anaye chukua mkopo yenye interest ni sawa sawa na mtu anaye pigana vita na mungu, kama anabisha akasome vitabu vya dini atapata jibu.
Mimi nashangaa kuona mtu ana ringa anajidai anapesa au kajenga nyumba wakati ana deni la bank...Hajui maisha yake anapigana vita na mungu...Pesa ya bank ni haramu as long ina interest na ataendelea kuishi kiharamu tu...mtu wa namna hio nikumpa pole mana anapigana vita na mungu hajijui :A S thumbs_down:
Kasome bible inasema nini kuhusu mkopo wa bank :bounce:haya siyaafiki ..... haya peleka saudi arabia huko....
Kuna jukwaa la dini nenda kule utakutana na wafia dini wenzako, hapa usituzingue pls!!....watu wengine akili ukwaju kwelikweli. Phweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!Kasome bible inasema nini kuhusu mkopo wa bank :bounce:
matola ,matola... ahahaaaa unatumia cha arusha kaka? relax bwana usipate ban nikokosa uhondo bure hapa...mpotezeeeKuna jukwaa la dini nenda kule utakutana na wafia dini wenzako, hapa usituzingue pls!!....watu wengine akili ukwaju kwelikweli. Phweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Hapo nimetoa point zangu navyo ona mimi sidhani ukitoa point ya dini umeisha kuwa unaongelea dini...wewe akili zako ndo ukwaju.Kuna jukwaa la dini nenda kule utakutana na wafia dini wenzako, hapa usituzingue pls!!....watu wengine akili ukwaju kwelikweli. Phweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Kwa mimi ambaye namiliki gari/magari tangu mwaka 1997, ninakwambia huyo mke wako hajui lolote kuhusu kumaintain gari, yeye anadhani kuvaa miwani ya juwa na kukoleza lipstic huku yupo kwenye kiyoyozi basi amemaliza!!
Kwa mwanamke Mbumbumbu kama amenunuwa gari na wewe hauna usikubali kujidharirisha, wake up ur mind, maisha yako yasiwe tegemezi kwake kiasi kwamba bila yeye hakuna maisha huko ni kutoitendea haki nafsi yako mwenyewe.
Nijibu kwanza maswali haya hili tufikie conclusion ya kesi yako bila kupoteza muda;
1. What is your source of income?
2. Mnaishi nyumba ya kupanga au mnaishi kwenye nyumba yenu?
3. Mmefunga ndoa kanisani/ msikiti/ serikalini?
4. Je mmejaliwa kupata watoto? kama ndiyo ni wangapi?
5. If u don't mind, unaweza kutaja kabila la mke wako na kabila lako?
6. Je mke wako ana kiwango gani cha Elimu?
Majibu ya hapo juu ndio yatakayoleta conlusion ya haraka katika kesi kama hii ya kwako. sometime i beleive huwa tunacreate wenyewe Timer explode bomb!!
mwambie arudi kuishi kwao miaka miwili ajifunze adabu...1.my source income ni monthly salary
2.Tunaishi nyumba ya kupanga
3.Ndoa ya kanisani
4.Tuna mtoto mmoja
5.Kabila lets put in brackets
6.Ana elimu ya certificate