Kwa nn baadhi ya wanawake wakipata pesa zaidi ya mumewe..........

Ni uswahili tu.. wanawake wenye tabia za kiswahili swahili kaa nao mbali kabisa
 

Wazazi ndo wanaweza mbadili tabia? Thubutu huyo kesha ota mapembe si amakula ya mbuzi
 
Dah sasa huyo atakuwa ana majivuno, alafu usipo mshikisha adabu mwanamke anakukalia kichwani kama hivi
Inasikitisha kwamba mpaka sasa hivi kuna wanaume bado hawafahamu mgawanyo rasmi wa wanawake kwa wanaume inapaswa Mwanaume atleast uwe na wanawake wanne, ila kwa sababu za kiuchumi ni lazima uwe na wawili hili halina mjadala, sasa sometime nadhani ni kutumia kanuni za Madj tu, one beat after another.
 
Dah sasa huyo atakuwa ana majivuno, alafu usipo mshikisha adabu mwanamke anakukalia kichwani kama hivi


fidel80, mimi mwenyewe ni mwanamke, na hizo sifa nimekutajia hapo ni very tru! yaani kwa kifupi kwenye kupata pesa bila kutarajia, both wanaume na wanawake huwa wanachange sana, majority na si wote!
 

na maradhi haya, haya au???
 
Ni uswahili tu.. wanawake wenye tabia za kiswahili swahili kaa nao mbali kabisa

i realy agree wit u, EXPOSURE REALY MATTERS! watoto wangu kwenda kwa bibi yao dec ni must, huwa nasave mara moja moja nafly nao, achana na magari hayo nimejitahidi! exposure, exposure na shule, very very IMPORTANT! INASAIDIA SANA KUONDOA TONGOTONGO!
 

Yani hawa na maisha yao utadhani under eighteen.Mungu awasaidie wasije ishia kuuana na lile gonjwa letu
 
pole aisee...
hv unajua utahusika kuurejesha?... chukua hatua akupe hela mfanye mlivokuwa mmekubalana kama hataki ...piga chini wanawake tupo wengi bwana ....

.........nimeipenda hii!
 
Huyu mwanamke ana matatizo binafsi ..Mkopo ndo unamfanya abadilike
Mie nikajua amepata Bingo ya mabilioni ya pesa ...
 
fidel80, mimi mwenyewe ni mwanamke, na hizo sifa nimekutajia hapo ni very tru! yaani kwa kifupi kwenye kupata pesa bila kutarajia, both wanaume na wanawake huwa wanachange sana, majority na si wote!

Sawa sio wote wanao change sasa inategemea wewe mwanamke au mwanaume una handle vp haya mabadiliko ukiyaacha yakue kama donda ndugu yanakuwa makubwa kama ya huyu ndugu yetu hapa mwanamke huyo atakuwa na adabu akifilisika.
 
hii ndoa inamapungufu haswa tokea mwanzo inaonekana haukuwa makini maana mwanamke hata maandiko ya vitabu vitakatifu hawakupewa kipaumbele ndio maana akili huwa kama kuna malaika wa zamu anawashikia akiamua apunguze utashangaa hata jana ulimnunulia gari akakusali hivi hivi. kuna mkuu wa kituo alipata pressure baada ya kumnunulia mwanamke gari na kumjengea nyumba ndani ya wiki tu alikuwa yuko nje ya penzi
 

Pole Kaka kwa yaliyokukuta, Inaonyesha Mkeo keshapata wa kula naye huo mkopo ndie anayempa kiburi chote we vumilia pesa ziishe utoana anakuwa mdogo kama piriton na huyo bandidu wake wanayechati mpaka usiku mkubwa atamkimbia ndio atajua life ni nini. Ila zungumza naye mapema ukionupa kule endelea na life. life is to short to keep worrying everyday for someone so stupid like her.
 

Wanawake wa siku hizi wamegeuka kuwa wanaume hata ndevu wanafuga anakwambia unanitisha na nn. Kazi kweli kweli
 
Tatizo sometimes ni inferiority complex ya mwanaume, yaani hata mwanamke akiwa normal au akikataa kuambiwa kitu mume anasema ni sababu ya pesa/uwezo wake.., (yaani anataka anyenyekee wakati wote) au sometimes anatingisha kiberiti kuona atafanya nini...

Kutokuelewana kwenye ndoa kupo.., normally people don't need excuse ya kugombana.., hivyo ukiweka hili la kuzidiwa kipato ni kama kuweka chumvi kwenye kidonda au kumpa upele mkunaji (hata kama mama hana kosa mume atasema kwamba matatizo yao yote ni sababu kamzidi pesa). Ninachojaribu kusema busara inatakiwa hapa, na sometimes ni mume ndio anakuwa hana busara ili kuonyesha bado ni important analeta uanamume wake
 
 
imani iliyojengeka nikuwa mwanamke anakuwa under mwanaume. kiukweli, kwasasa wanawake wengi sana hukana imani hiyo. jambo hilo hupelekea wengi wao wanapopata ukombozi wa kujiwezesha kuwa na dharau, majigambo na majivuno. ila ukweli ni kwamba ni baadhi tu ya wanawake wako hivo na si kila mwanamke.
Mwanamke ambaye anajielewa hawezi kuwa na majigambo, majivuno au dharau kwasababu tu ya pesa. Huo ni ujinga. Kwa upande wangu napenda kuita huo ni ushamba wa kushika pesa kwani wapo wanawake ambao wanapesa zao, na hawana imani ya kuwa under control ya mwanaume endapo atakuwa katika mahusiano lakini anaelewa utu ni nini. Kinacho matter ni kuangalia future ya family kwa pande zote mwanamke na mwanaume bila kulinganisha vipato au mikopo. shida zipo pale pale, kesho na keshokutwa mmoja atahitaji msaada wa mwenza wake katika hali yoyote iwe ya kipesa, kinguvu au hata kimawazo
 
 
Kumbe mkiwezeshwa ndo mnafanya haya ngoja mi niendelee kuhit na kurun khaa mwanaume unageuzwa zuzu hivi hivi.
wee acha tu.huyo mwanamme zuzu wa mwisho.mpaka watu wanashangaa.huyo bibi ana mwanmme na wala sio siri,huyo bwana yeye ameshikilia nimezaa nae mtoto.anampenda sana mtoto wake ila cha moto anakiona.mtoto atakuja kupata shida.bibi ana power za hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…