wote wanafanya kazi sehemu moja,maybe juu ya yote hawezi kuishi bila mke wake.hata afanyiwe vituko vipi.Sasa hao kama ni hivyo.......huyo jamaa anapumua kwa msaada wa mapafu ya mkewe???????
Au ndo mambo ya "i cant live without you my wife..........................."
Wacha upumbavu wa kutudharirisha Wanaume wewe unaweza kulala kitanda kimoja na Dada yako? wewe hapa inaonekana unaficha ukweli, lakini ukweli unaonekana Mwanamke ndiyo anayeendesha nyumba na siyo wewe, inawezekana ulimpenda huyo Mwanamke kwa sababu ya vitu fulani sasa Target zimefeli unakuja kudanganya watu hapa.Sasa hivi tunaishi kama dada na kaka.....................NINA MWEZI SASA TANGU NIPATE!!!!,na alishanitahadharisha kuwa nisijaribu kumwambia swala hilo
Hainiingii akili mtu una shughuli zako na kipato chako, Dunia ya leo upelekeshwe na Mwanamke kwa viwango hivyo!!...never otherwise wewe ni maliyoo tu na huna pa kwenda na isitoshe hata anayelipa kodi ya nyumba atakuwa ni Mwanamke.
So watoto wa mjini wanasema usimuonee wivu mkeo wakati pesa huna.
Kwa mimi ambaye namiliki gari/magari tangu mwaka 1997, ninakwambia huyo mke wako hajui lolote kuhusu kumaintain gari, yeye anadhani kuvaa miwani ya juwa na kukoleza lipstic huku yupo kwenye kiyoyozi basi amemaliza!!
Kwa mwanamke Mbumbumbu kama amenunuwa gari na wewe hauna usikubali kujidharirisha, wake up ur mind, maisha yako yasiwe tegemezi kwake kiasi kwamba bila yeye hakuna maisha huko ni kutoitendea haki nafsi yako mwenyewe.
Nijibu kwanza maswali haya hili tufikie conclusion ya kesi yako bila kupoteza muda;
1. What is your source of income?
2. Mnaishi nyumba ya kupanga au mnaishi kwenye nyumba yenu?
3. Mmefunga ndoa kanisani/ msikiti/ serikalini?
4. Je mmejaliwa kupata watoto? kama ndiyo ni wangapi?
5. If u don't mind, unaweza kutaja kabila la mke wako na kabila lako?
6. Je mke wako ana kiwango gani cha Elimu?
Majibu ya hapo juu ndio yatakayoleta conlusion ya haraka katika kesi kama hii ya kwako. sometime i beleive huwa tunacreate wenyewe Timer explode bomb!!
Yalishajibiwa.........Maswali yaliyoulizwa hapo juu ni muhimu sana kusaidia katika kumwelewa huyo mama. Saikolojia yote ya huyo mama imefichwa kwenye swali namba 5 na 6. Naomba mhusika ayajibu ili tujue tatizo la huyo mama maana ananishangaza kwa ulimbukeni wake.
Habari wapendwa wa JF, nimekaa nikafikiria sana hili swala nikaona bora niliweke jamvini tupeane mchango. Unakuta umeoa na mwanamke alikuwa anakutegemea kwa kila kitu ingawa kuwa nae anafanyaka kazi, mmeendelea na maisha ya kila siku lakini ikaja ikatokea kuwa mwanamke akapata mkopo ofisini kwao ambao ukiulinganisha na ile niliyokuwa nampatia kiukweli mkopo ni mkubwa kiasi chake, sasa kinachokuja hapa ni kwamba "BAADA YA KUPATA MKOPO AMEKUWA MTU WA NYODO, JEURI, MANENO YA KASHFA NA MAJIVUNO".
Hata nikisema nimuulize lolote atanijibu kwa mkato......na mbaya zaidi sasa hivi tunaishi kama kaka na dada............,na mara ya kwanza alikuwa nawahi sana kurudi nyumbani lakini baada ya hiyo pesa kurudi kwake nyumbani ni saa 3 usiku?......
Naomba wana JF mniambie hapa huwa inakuaje kwenye hili? Maana mimi nimeamua kuwa kimya bila kuzungumza chochote.....mbaya zaidi amekuwa busy na simu anaweza ku-chat hata mpaka saa 6 za usiku, wakati mara ya kwanza mm nikitumiwa sms hata moja saa 3 usiku ilikuwa ugomvi ntaambiwa niwaambie hao watu wasinisumbue nipo na mke wangu.
Lakini leo yeye ndo amekuwa kinara wa kuchat, nikimwabia najibiwa "KILA MTU ANA UHURU WAKE WA SIMU",.........Wapendwa wa JF maneno ninayo mengi sana lakini kwa haya niliyoyatoa naamini mtakuwa mmepata picha halisi............NAWASILISHA