Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Status
Not open for further replies.

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Nimeona ni muda sasa mange kimangi amekuwa front line kwa kumkosanisha diamond na mashabiki,

imefikia kipindi naona siyo hates kama shabiki bali naona kama kuna kitu kimejificha ambacho kwa sisi wa nje hatuwezi kung'amua.

Baada ya wimbo wa domo kufikisha viewz 1M within 15 hrs yameibuka maneno meng sana ya kumkatisha tamaa uyu mtt wa tandale, na imefikia kipindi anawahadaa watu wai report iyo ngoma mpya ya domo youtube ili sijui ifungiwe,

kwa nini anakuwa na chuki kiasi iki kwa domo, sawa msanii kama msanii huwezi ukapendwa na wote lkn hii stage mange aliyofikia inanipa ualakini na kunipa waswas hata kwny harakati zake za siasa anazotuhubilia kil mara kuwa hata zenyewe zimejaa magumashi.

Nikikumbuka jinsi alivyomwandama mkuu wa mkoa wa dar mh. Makonda napata mashaka sana juu ya harakati zake.
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
yeye kasema neno haleluja, wapo wanavaa na misalaba kabisa na sote tunafurahia. Ndio walewake chuki mshindo.
 
umetoa point ya kitoto sijapata kuona kuna sheria gani inasema usitumie maneno yasio ya dini yako?
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
 
Unatuuliza sisi, una uhakika sisi tunajua sababu?
 
Nimeona ni muda sasa mange kimangi amekuwa front line kwa kumkosanisha diamond na mashabiki, imefikia kipindi naona siyo hates kama shabiki bali naona kama kuna kitu kimejificha ambacho kwa sisi wa nje hatuwezi kung'amua. Baada ya wimbo wa domo kufikisha viewz 1M within 15 hrs yameibuka maneno meng sana ya kumkatisha tamaa uyu mtt wa tandale, na imefikia kipindi anawahadaa watu wai report iyo ngoma mpya ya domo youtube ili sijui ifungiwe, kwa nini anakuwa na chuki kiasi iki kwa domo, sawa msanii kama msanii huwezi ukapendwa na wote lkn hii stage mange aliyofikia inanipa ualakini na kunipa waswas hata kwny harakati zake za siasa anazotuhubilia kil mara kuwa hata zenyewe zimejaa magumashi. Nikikumbuka jinsi alivomwandama mkuu wa mkoa wa dar mh. Makonda napata mashaka sana juu ya harakati zake.
Na ww utambue pia si busara kumwita mwenzako Domo.[HASHTAG]#Aliye[/HASHTAG] umba haumbui.
 
Diamond atakuwa ameonja Mange sasa shida hakuna acknowledgement..!! Woman scorned hebu malizia..!!
 
Mange? Support watanzania wenzio. Acha kuwaharibia. Kwa umaarufu wako nilitegemea ungekuwa wa kwanza ku support watanzania badala yake unawadidimiza. Acha mwanamke kuwa mzalendo wa kweli.
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Mwangilieni mwingine huyu!!

Anauddhalilisha Ukristo kivipi?

Ina maana Hallelujah ni Ukristo?! Ina maana hufahamu kwamba hilo ni neno la Kiingereza lililotoholewa kutoka Kihebrania likimaanisha "Praise the Lord?" Kwahiyo mtu akitumia neno la Kihebrania tu tayari anakashifu Ukristo wakati hii lugha ipo hata kabla Yesu hajazaliwa!

Au hufahamu hata kwenye Zaburi hilo neno limetumika sana?! Wakati Zaburi inaingia Yesu aliyekuja kuutangaza Ukristo alikuwepo?!

Hivi ukipata mwanamke mzuri mwenye viwango huwezi kumsifu Mungu?!

Yaani wewe ndo wale wanaosemaa Asalaam Alyekum ni neno la Kiislamu wakati ni greetings in Arabic!!!
 
Mange anataka kushawishi watu wamchukue Diamond sababu yeye anamchukia.

Nahisi sababu ya Mange kumchukia Diamond ni kumwacha Wema. Ila watu Mwenye akili timamu wamemgomea.
Yaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom