Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange alijisahau na akaamini kila asemalo Wafuasi wake watamsupport 100%.kifimbocheza_
Achana na Mange! Yule mwanamke ana chuki kwa wengi waliomzidi kila kitu na sio Diamond peke yake!! Uzuri ni kwamba, hivi leo hata akiandika hivyo viroja vyake ana-disable comments wakati si kawaida yake! Yaani Mange anawaogopa mashabiki wa Diamond lakini anachotaka ni kuwalisha sumu mambumbumbu wanaoamini kila anachosema kama hilo suala la kununua views ambalo kwenye mwenye akili timamu anafahamu huwezi kununua views kirahisi namna hiyo halafu ukabaki salama huku video ikiwa ina-trend #1
Hata yy msalaba kauvaayeye kasema neno haleluja, wapo wanavaa na misalaba kabisa na sote tunafurahia. Ndio walewake chuki mshindo.
Thread closedMange anataka kushawishi watu wamchukue Diamond sababu yeye anamchukia.
Nahisi sababu ya Mange kumchukia Diamond ni kumwacha Wema. Ila watu Mwenye akili timamu wamemgomea.
Yaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
Hujui historia ya ugomvi wa mange na mond japo mm sijafatilia sana but nakumbuka mange kaanza kumponda mond kitambo sana kipindi icho akiwa na blog yake u-turn coz hata kipindi mond anatoa wimbo wake wa nana aliuponda sana.Yaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
Mashabiji=Ni tusi kwa kindengereko 😀 😀 😛naona post za mange kimambi kaondoa sehem ya comments..maana mashabiji wa diamond ni noma..duh wamemtukana kinyama
Nahisi ni typing error jamaa kakosea tu kuandika.Mashabiji=Ni tusi kwa kindengereko 😀 😀 😛
Neno limetumika pasipo tarajiwa,wimbo msg za Diamond ni yale yale marudio hana jipya, jipya hapo ni mwanamuziki aliyefanya nae kolabo.Mwangilieni mwingine huyu!!
Anauddhalilisha Ukristo kivipi?
Ina maana Hallelujah ni Ukristo?! Ina maana hufahamu kwamba hilo ni neno la Kiingereza lililotoholewa kutoka Kihebrania likimaanisha "Praise the Lord?" Kwahiyo mtu akitumia neno la Kihebrania tu tayari anakashifu Ukristo wakati hii lugha ipo hata kabla Yesu hajazaliwa!
Au hufahamu hata kwenye Zaburi hilo neno limetumika sana?! Wakati Zaburi inaingia Yesu aliyekuja kuutangaza Ukristo alikuwepo?!
Hivi ukipata mwanamke mzuri mwenye viwango huwezi kumsifu Mungu?!
Yaani wewe ndo wale wanaosemaa Asalaam Alyekum ni neno la Kiislamu wakati ni greetings in Arabic!!!
Kuna msg ipi tofauti ya mapenzi unataka kuisikia?Neno limetumika pasipo tarajiwa,wimbo msg za Diamond ni yale yale marudio hana jipya, jipya hapo ni mwanamuziki aliyefanya nae kolabo.
Sana nilichosikia ni she she sheeee haleluyah.
My opinion, no hate
Mange hataki kukosolewa, cha ajabu anakosoa wengine openly so sad.Ajabu zaidi ni pale anapo amini yuko sahihi Kuliko watu wote na hata kuona mtu yeyote yuko tofauti na mawazo yake...
Ukiongea kitu tofauti na yeye anaku block papohapo [emoji28]
Ana matatizo ya akili yule Dada Pasi na kumung'unya maneno...
NEGATIVISM nao ni ugonjwa wa akili na ndio unao msumbua Dada yule
Mwangilieni mwingine huyu!!
Anauddhalilisha Ukristo kivipi?
Ina maana Hallelujah ni Ukristo?! Ina maana hufahamu kwamba hilo ni neno la Kiingereza lililotoholewa kutoka Kihebrania likimaanisha "Praise the Lord?" Kwahiyo mtu akitumia neno la Kihebrania tu tayari anakashifu Ukristo wakati hii lugha ipo hata kabla Yesu hajazaliwa!
Au hufahamu hata kwenye Zaburi hilo neno limetumika sana?! Wakati Zaburi inaingia Yesu aliyekuja kuutangaza Ukristo alikuwepo?!
Hivi ukipata mwanamke mzuri mwenye viwango huwezi kumsifu Mungu?!
Yaani wewe ndo wale wanaosemaa Asalaam Alyekum ni neno la Kiislamu wakati ni greetings in Arabic!!!