Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Status
Not open for further replies.
kifimbocheza_

Achana na Mange! Yule mwanamke ana chuki kwa wengi waliomzidi kila kitu na sio Diamond peke yake!! Uzuri ni kwamba, hivi leo hata akiandika hivyo viroja vyake ana-disable comments wakati si kawaida yake! Yaani Mange anawaogopa mashabiki wa Diamond lakini anachotaka ni kuwalisha sumu mambumbumbu wanaoamini kila anachosema kama hilo suala la kununua views ambalo kwenye mwenye akili timamu anafahamu huwezi kununua views kirahisi namna hiyo halafu ukabaki salama huku video ikiwa ina-trend #1
 
Mange alijisahau na akaamini kila asemalo Wafuasi wake watamsupport 100%.

Sasa kapata upinzani mkali kashindwa kuamini NGUVU YA USHAWISHI imeenda wapi.

Ukweli utabaki daima. Nyimbo ni Kali sana. Inastahili ilipo sasa.
 
Mange yule ni team Kiba ni sawa na shabiki wa yanga umlazimishe kushabikia simba .Ujinga ni pale anapowaforce watu wakbali kiba hapo ndo wabongo majamshushi matusi adi wakagoma na ktoa michango
 
Yaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
Hujui historia ya ugomvi wa mange na mond japo mm sijafatilia sana but nakumbuka mange kaanza kumponda mond kitambo sana kipindi icho akiwa na blog yake u-turn coz hata kipindi mond anatoa wimbo wake wa nana aliuponda sana.

So kuna kitu.
 
Mange yule nadhani ana wivu kupindukia na hana namna basi ili kupunguza maumivu ya kukosa anaamua kuwa hivyo.
Ila hata mm huwa ananishangaza sana kuonesha chuki zake waziwazi, huyo hafai hata kuwa kiongozi.
 
Ajabu zaidi ni pale anapo amini yuko sahihi Kuliko watu wote na hata kuona mtu yeyote yuko tofauti na mawazo yake...

Ukiongea kitu tofauti na yeye anaku block papohapo [emoji28]

Ana matatizo ya akili yule Dada Pasi na kumung'unya maneno...

NEGATIVISM nao ni ugonjwa wa akili na ndio unao msumbua Dada yule
 
Neno limetumika pasipo tarajiwa,wimbo msg za Diamond ni yale yale marudio hana jipya, jipya hapo ni mwanamuziki aliyefanya nae kolabo.
Sana nilichosikia ni she she sheeee haleluyah.
My opinion, no hate
 
Neno limetumika pasipo tarajiwa,wimbo msg za Diamond ni yale yale marudio hana jipya, jipya hapo ni mwanamuziki aliyefanya nae kolabo.
Sana nilichosikia ni she she sheeee haleluyah.
My opinion, no hate
Kuna msg ipi tofauti ya mapenzi unataka kuisikia?
 
Mange hataki kukosolewa, cha ajabu anakosoa wengine openly so sad.
 

Anawanawake wangapi na
- anashinda na wangapi
-analala nawangapi na
-mezaa nawanganpi? Ukristo unahubiri mme mmoja kwa mke mmoja.

Amewapenda wangapi na tunajifunza nini?

Msaani ni kioo cha jamii.... Huyu anafundisha nini? Ufuska...halafu anataka ukristo ubaliki ushenzi wa tungo za udhalilishaji kwa sifa za kijuha?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…