kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
- Thread starter
-
- #41
Mm huwa sikoment kwenye post zake ila inafikia kipindi anakera haiwezekani uonyeshe chuki za wazwaz ivo kwa mtu. Mond anaingia gharama kutengeza brand yake alafu mtu tu from no where anaanza kuku pull down.Ajabu zaidi ni pale anapo amini yuko sahihi Kuliko watu wote na hata kuona mtu yeyote yuko tofauti na mawazo yake...
Ukiongea kitu tofauti na yeye anaku block papohapo [emoji28]
Ana matatizo ya akili yule Dada Pasi na kumung'unya maneno...
NEGATIVISM nao ni ugonjwa wa akili na ndio unao msumbua Dada yule
Dada yetu mange kama unapitaga umu jf tunakuomba tuachie diamond wetu ww endelea na wasanii wako unaowahusudu plz acha kumchonganisha na mashabiki acha kutengeneza tabaka maana ata post zako naona zimeanza kudolola kama ww ni mtu makini utakuwa umeshaona so achana na domo. Akopi, anunue viewz afanye nn sisi mashabiki zake tusharizika nae so mpotezee maana unatumia nguvu nyingi sana kuuaminisha umma kitu ambacho siyo.