Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Status
Not open for further replies.
Hizi kambi pinzani zisizo rasmi zinasikitisha,while Diamond and Kiba are making money through their musics kuna watu wanashinda wakibishana na kutukanana mitaani na kwenye social media bure.
Kama Mange hamkubali Diamond kuna ubaya gani wakati wewe humkubali Ally Kiba? Why can't you guys be democratic by allowing freedom of expression? Si kila ukipendacho kila mtu atakitaka,unampenda Diamond then shout out for Diamond na hasiye mpenda Diamond atamponda tu hata kama Diamond atapata tunzo ya dunia.
Common ,grow up and get life sucker!
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Neno gan la dini limetumika?
 
Hili swali sijawahi kupata jibu. Sijui kamkosea nini
 
Diamond ni mwana CCM
Diamond anampenda Rais Dkt. Magufuli
Diamond ni mshirika / rafiki wa karibu sana na Mkuu wa Mkoa Paul C. Makonda.
 
Point
 
Diamond ndo anahadaa watu na ommy dimpoz amewahi kusema diamond huwa ananunua tuzo sasa anafoji hadi viewers mshamba sana
 
We hujui kwanini anamchukia mond ? Mange ndiye aliyemtoa Wema, ndiye aliyemshawishi na kwenda kumuombea kwa mama yake ili ashiriki shindano la u-miss. Kwahiyo kuna uhusiano mkubwa kati yake na Wema. Nafikiri unaweza pata picha.
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.

Hallelujah ni neno la ki-hebrew sio neno la dini. Maana yake mungu asifiwe. Unaweza kusema kwa kichina, kiarabu, kigiriki au kihebrew. Tunalikuta hili neno kwenye biblia kwa sababu liliandikwa huko. Biblia ingeandikwa Dar es Salaam ungekuta maneno ya kizaramu. Hamna dharau yoyote hapa. - From a christian who knows the bible
 
Nenda kaongee msikitini hilo neno mara tatu, kisha rudisha mrejesho hapa jukwaani
 
kama ni sahihi angesema allahwakbaru
Unamaanisha hivi mkuu..!!

"I swear She makes me say allahwakbaru
Yes she makes me say allahwakbaru
She makes me say allahwakbaru
Oh she iih allahwakbaru
Allahwakbaru"

My take: Jamaa aliona haina swaga au unaonaje ukiimba imba hata wewe..??
 
Ana hate mpaka anakera..simpendi Dai lkn hate kwa huyu mwanamke naona ni too much anakua kama mchawi sasa
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.

Maneno gani...!!?
 
Unamaanisha hivi mkuu..!!

"I swear She makes me say allahwakbaru
Yes she makes me say allahwakbaru
She makes me say allahwakbaru
Oh she iih allahwakbaru
Allahwakbaru"

My take: Jamaa aliona haina swaga au unaonaje ukiimba imba hata wewe..??
Kweli haina swaga. Pia ameangalia na Majority ya Watu. Wengi ni Wakristo.

Asalaam alyeikhum imeishatumika kwenye nyimbo nyingi za HipHop has a Lil Wayne na Rick Rozey.
 
Akirudia tena kuandika upupu,basi atakuwa anawashwa washwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…