Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Status
Not open for further replies.
Hizi kambi pinzani zisizo rasmi zinasikitisha,while Diamond and Kiba are making money through their musics kuna watu wanashinda wakibishana na kutukanana mitaani na kwenye social media bure.
Kama Mange hamkubali Diamond kuna ubaya gani wakati wewe humkubali Ally Kiba? Why can't you guys be democratic by allowing freedom of expression? Si kila ukipendacho kila mtu atakitaka,unampenda Diamond then shout out for Diamond na hasiye mpenda Diamond atamponda tu hata kama Diamond atapata tunzo ya dunia.
Common ,grow up and get life sucker!
Ww nikisema ni mpumbavu sijui nitakuwa nimekosea...umesoma mada vizuri na ukaielewa, hakuna msanii anayependwa na watu wote ndo maana ata YouTube kuna like na dislike lakini kutompenda mtu isikufanye ukonvinsi na wengine wafate mkumbo wako. Hivi kwa akili yako ya kawaida, unafurahishwa na anachokifanya mange dhidi ya domo kwny social media mtt wa watu kamkalia kooni utafikiri mke mwenza. Kama mtu humpend why umfatilie kila anachofanya.
 
We hujui kwanini anamchukia mond ? Mange ndiye aliyemtoa Wema, ndiye aliyemshawishi na kwenda kumuombea kwa mama yake ili ashiriki shindano la u-miss. Kwahiyo kuna uhusiano mkubwa kati yake na Wema. Nafikiri unaweza pata picha.
I got you....
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Itakuwa hujaangalia wimbo wa davido-If nilimuona yule sister au kwa kuwa davido mkristo?.
 
Mange? Support watanzania wenzio. Acha kuwaharibia. Kwa umaarufu wako nilitegemea ungekuwa wa kwanza ku support watanzania badala yake unawadidimiza. Acha mwanamke kuwa mzalendo wa kweli.
Yule maarufu wapi maana umaarufu mitandao ya kijamii unaangaliwa kwa followers hivi Instagram anao wangapi?.
 
Kha kwan Halleluyah ni dini?

si neno la kiebrania lenye maana ya praising au kosa ni yy kuwa muislam?
 
Unamaanisha hivi mkuu..!!

"I swear She makes me say allahwakbaru
Yes she makes me say allahwakbaru
She makes me say allahwakbaru
Oh she iih allahwakbaru
Allahwakbaru"

My take: Jamaa aliona haina swaga au unaonaje ukiimba imba hata wewe..??
hahahahahahahahahaha
 
Anawanawake wangapi na
- anashinda na wangapi
-analala nawangapi na
-mezaa nawanganpi? Ukristo unahubiri mme mmoja kwa mke mmoja.

Amewapenda wangapi na tunajifunza nini?

Msaani ni kioo cha jamii.... Huyu anafundisha nini? Ufuska...halafu anataka ukristo ubaliki ushenzi wa tungo za udhalilishaji kwa sifa za kijuha?
Kibakuli
 
Huelewi maana halisi ya neno msanii

Huyo mshenzi ajuwe ukristu unahubiri mke mmoja kwa mume mmoja

Huyu malaya anayezaa hovyo mitaani anatufundisha nini kwa kutumia maneno yetu matukufu kuhalisha ujinga na uasherati wake?
Ww mwnyw malaya tu na mshenzi
 
Mange anataka kushawishi watu wamchukue Diamond sababu yeye anamchukia.

Nahisi sababu ya Mange kumchukia Diamond ni kumwacha Wema. Ila watu Mwenye akili timamu wamemgomea.
Kama sababu ni ya Diamond kuachana na Wema nvoba wema na diamond walishamove on na they support each other katika shughuli zao? Wema kapost wimbo wa mond, mind juzi tuu kanuwish wema Hbd. Mange yew kinachomuuma zaidi ni nini?
Tatizo mange yee akimchukua mtu basi atamanipulate wengine nao wamchukie. Na watu wajinga nao utaona wanafata mkumbo tuu
 
Unafaham kwamba kesha potea kwenye orodha ya thamani alokuwa nayo awali?

Yaliyomkuta huyu mzinzi uliyemtaja yatamkuta huyu mzinifu mwingine

Mwambieni akome otherwise majuto nimjukuu
Wivu kwa mwanaume mwnzko duuuuu
 
Ajabu zaidi ni pale anapo amini yuko sahihi Kuliko watu wote na hata kuona mtu yeyote yuko tofauti na mawazo yake...

Ukiongea kitu tofauti na yeye anaku block papohapo [emoji28]

Ana matatizo ya akili yule Dada Pasi na kumung'unya maneno...

NEGATIVISM nao ni ugonjwa wa akili na ndio unao msumbua Dada yule
Halafu unakuta amepost anaitukana serikali kulifungua gazeti la Mawio. Anasahu na yeye anawablock watu kwa kumpa ukweli.

Binadamu unafiki hautoisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom