Kwa nondo toka kwa Padre Kitima, Rais Samia hakuna atakayekuelewa leo. Ni Bora ukae kimya!

Kwa nondo toka kwa Padre Kitima, Rais Samia hakuna atakayekuelewa leo. Ni Bora ukae kimya!

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
4,504
Reaction score
8,842
Huo ndio ukweli,kale ka hotuba ulikokaandaa kabla ya tnondo za kitima ka edit kwanza au kaa kimya tu!!

Hakuna aliejiandaa kukuelewa kabisa hasta wanaccm wenzangu wengi hawatokuelewa, Tanzania inanuka damu iliyomeagika October 29,Damu haiwezi kulipwa Kwa vijineno kama hivyo na komedi za nchemba!

Labda kama utakuja na tamko jingine kubwa kuliko hilo uliloliandaa,mitandaoni kume ku outshine na ku spin hotuba Yako kabla haijasomwa!

Kwa Hali ilivyo Bora uandae TU wale wanyonya damu Ili wakabiliane na waandamanaji au uabike uachie ngazi hakuna namna,vijineno havitokusaidia kabisa!!

Mungu ibariki Tanzania na wabariki viongozi wetu wawe na busara kwenye maamuzi!
 
Kwa kweli huyu mtu amekuwa anapenda sana hotuba za uwongo mtupu. Hotuba yake iliyopita aliongea uwongo mwanzo mwisho! Hakuna punguani wa kupoteza muda wake kusikiliza uwongo wa wazi ambao hata mtoto wa darasa la 3 anajua ni uwongo.
 
Watu wameshaijadili hutuba yake kabla ya kusomwa, ogopa sana Watu wakikuchukia. Damu za watu mbaya sana zitakufuata mpaka Kaburini. Naomba Mungu wa Mbinguni aendelee kushupaza shingo wasaidizi wake waendelee kumsindikiza shimoni, maana sipati picha baada ya hutuba watu watazidi kujaa sumu kiasi Gani kuelekea D9
 
Anatakiwa aende na nondo za Padre na kukubali makosa yaliyotokea na nini kifanyike ikiwezekana hata kabla ya Tume kuanza kazi hao wakuu wa polisi wa Mikoa iliyoua watemeshwe mzigo kuanzia leo hapo watu watamuelewa ila watuhumiwa wakuu wapo kazini harafu unataka kuzungumza na Wananchi anajipa kazi ngumu sana kwa kweli.
 
Ila Mungu uyu, ccm ilianza kampeni mwaka mzima ,mabango, mapikipiki,, mabaskeli ,mabasi( kwanza yako wapi, na yamepakiwa sehemu gani? hili ni jambo la msingi, yalikua ya ccm kweli)

Sasa kiko wapi ? baada ya nguvu zote zile tumeishia poteza watoto wetu
 
Back
Top Bottom