Kwa “nonsense” ya Sukari, Rais Samia anastahili pongezi. Je, tuishie kwenye "nonsense" ya Sukari tu au tuangazie na "nonsense" nyingine zote?

Mtoa mada huna akili.
 
Kuna ukweli, rafiki yangu mmoja aliniambia inabidi waregiste upya kampuni yao Zanzibar ili waweze kufanya kazi Zanzibar an kulipa kodi zote Zanzibar Kampuni hii imafanyakazi Zanzibar kwa zaidi ya miaka 20. Ila hata mimi sijajua ni sawa na wageni au la.
 
Ni mwendo wa nonsense hadi kukuche
 
Asante sana mkuu kwa kudhibitisha taarifa hizi.
=====
Sasa kama utaratibu ndiyo huo, "nonsense " ni muhimu mpaka Zanzibar ifuate utaratibu wakuingiza sukari Tanzania bara .
 
Ninafikiri kutugeuza soko la bidhaa za nje na wakati huohuo tunajinasibu na sera za kustawisha viwanda ndiyo nonsense kamili.
Kama hatuwezi ,ndo hatuwezi tuu.
Sukari ya Brazili ikiingia TZ baada ya kodi zote itasimama kwa T shs. 1600/= Dukani reja reja.
Hii NonSense ya serikali kuwakandmiza Raia kwa kisingizio cha kulinda Kiwanda cha Bepari fulani wala si cha serikali,huu ni upotolo na ni foolishness beyond nonsence.
 
tunajigamba kujenga Fly over kwa bei ghali sana ,inavyoonesha TZ hatuna uwezo kabisa wa kiutaalamu wa kubuni,kuchora na kujenga hayo ma fly over.
Lkini baya zaidi hata kuchagua aina ya fly over pia hatujui, matokeo yake tunajengaflyover za kizamani za miaka ya 70 na kuacah kwenda na wakati,
Mfugale

Mr. Alphayo J. Kidata
Commissioner General



hili ni aina ya zamani ya madraja.
msongamano umehama upande mmoja umehamia upande mwingine.
Bado foleni za Mandela road zipo pale pale.
 
Kwahiyo kama hamwezi ndiyo muendelee kutokuweza milele bila kuchukua hatua za mabadiliko!
 
Sawa mkuu twende kwenye hoja ya msingi yapi maoni yako kuhusu sukari ?
 
Ninafikiri kutugeuza soko la bidhaa za nje na wakati huohuo tunajinasibu na sera za kustawisha viwanda ndiyo nonsense kamili.
Pia wenye viwanda wana wajibu ya kuweka bei affordable kwa wanainchi ili kuweka ushindani uliyo sawa na mwananchi akaweza kununua kulingana na hali halisi ya uchumi,sio kutegemea kulindwa na sheria tu za local industries,eti kwa sababu viwanda visife,mbona finance management zao zipo more active kuhakilisha viwanda avifilisiki kwa nn wasitegemee tu kulindwa na sheria za serikari?
 
Mitaji ya wawekezaji wengi wa ndani hailingani na wawekezaji wa nje wengi.

Wao kama wanataka kutuuzia walipaswa waje wajenge viwanda vyao hapa nchini kama Marekani walivyofanya kwa China.

Hapo itakuwa na manufaa kwa pande zote. Otherwise, serikali inapaswa kulinda viwanda vya ndani.
 
serikalikilinda viwanda , mwananchi ndiye anayeumia, wala hakuna nafuu kwa raia.
Basi kama serikali ikitaka kulinda viwanda itowe subsidize(fidia kwa pengo la bei) ili mwananchi apate bidhaa kwa bei rahisi
 
"Nonsense" si sawa na ujinga. Maana yake mara nyingi ni karibu sana na "ujinga" lakini si sawa. Mara kwa mara nonsense ni pia dalili ya ujanja, au njia ya kufikisha ujumbe kwa njia ya kifumbo.

Ukiangalia neno lina pande mbili "non" + "sense". Kwa hiyo kimsingi maana yake ni "bila maana".
Ufafanuzi mfupi wa Kiingereza ni:
" spoken or written words that have no meaning or make no sense."
Kutoka hapa pia: "foolish or unacceptable behaviour" (ambako tumekaribia ujinga)

Wikipedia:
Nonsense is a communication, via speech, writing, or any other symbolic system, that lacks any coherent meaning. Sometimes in ordinary usage, nonsense is synonymous with absurdity or the ridiculous. Many poets, novelists and songwriters have used nonsense in their works, often creating entire works using it for reasons ranging from pure comic amusement or satire, to illustrating a point about language or reasoning.
In the philosophy of language and philosophy of science, nonsense is distinguished from sense or meaningfulness, and attempts have been made to come up with a coherent and consistent method of distinguishing sense from nonsense.

Kuhusu tamko la rais nadhani alielewa sawa. Ila maelezo ya kilugha hayakuwa sahihi.
 
T
Wananchi turuhusiwe kutengeza sukari guru kama wahindi na Indonesia huko! Turuhusiwe muone kama sukari haishuki bei!
 
Na wanakandamiza kwenye bidhaa zisizoisha fasheni kama sukari na cement kwanini?
 
Mpaka Raisi aseme twende na fasheni mpya ila wataalamu wao hawana maono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…