Kwa “nonsense” ya Sukari, Rais Samia anastahili pongezi. Je, tuishie kwenye "nonsense" ya Sukari tu au tuangazie na "nonsense" nyingine zote?

Wananchi wanaumiaje? Kabla ya Pasaka bei ya sukari ilikuwa Tsh 7,000-10,000 kwa kilo.

Bashe alipotoa vibali iliterrmka hadi Tsh 2,500 -3,000 kwa kilo.

Hebu shirikiisha halmashauri ya ubongo wako

Unatetea ujinga
 
Angekua jehanam watu wasingekua wanalialia na kila kitu kutaka kuangushia mzigo kwake wakati ni marehemu,,,,,,mliingia kichwa kichwa mtakatifu anawapa za uso na bado....
Mtakatifu gani huyu alikuwa anaabudu Gamboshi na kuua wapinzani?
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…