Hapana hajapotea Ila wabongo wengi wamezoea nyimbo za kucheza na sio kusikiliza , Ray vanny ni fundi wa nyimbo za kusikiliza ,.....wengi wanaoimba nyimbo za kucheza hawana maneno ndo mana wanaishia kuweka maneno ya matusiSijui nipoje, ila siku hizi naona kapotea.
Kwetu, Kiki,.. zilikua lit AF
Rayvanny yupo vizuri Sana.Leo nimeingia YouTube niangalie nin kinatrend Bongo, nikakuta wimbo wa Rayvanny unaitwa Ex Boyfriend, bonge moja la pini.
Huyu mwamba nimempigia saluti anaimba vitu real sana na very romantic kwa kweli. Unasikiliza hata kama una stress zinakuhama kidogo.
Kwa nyimbo hizi nimempigia saluti.
1. Mbeleko
2. I Love You
3. Naogopa
4. Ex Boyfriend
Ushauri wangu abane angle hiyo hiyo atajitengenezea icon moja kali sana, sio lazima afate nyayo za Mond.
Sawa Raymond shaban Mwakyusa tumekusikia
Kaisikilize "Uko salama by Barnaba classic"Leo nimeingia YouTube niangalie nin kinatrend Bongo, nikakuta wimbo wa Rayvanny unaitwa Ex Boyfriend, bonge moja la pini.