Pre GE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

Pre GE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
2025 mtajaribu? Mama anakubalika.

1000026905.jpg
 
Kuwa Rais na kuwa Mgombea wa Urais ni vitu viwili tofauti, Kampeni za Urais ni balaa, Jiwe na Kiburi chake alijikuta akipiga magoti hadharani.

Kujibu Spana za mtu kama Lissu si jambo rahisi
Ubongo wa kujibu hoja upo wapi?Aliwachachafya kidogo tu,wakatoka wote kwenye mashimo na kuanza kuongeaongea bila kujibu kitu.
 
Wamekuja wapate chochote, hali ngumu huko. Wanawajua ccm nyakati hizi, wataambulia yale malonya ya t-shirt, khanga. Ahadi hewa washazoea..
Sisy upo? 😀
Hii nchi tunatakiwa wananchi tujikomboe wenyewe tu.!!
 
Back
Top Bottom