Pre GE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

Pre GE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unafahamu hivyo vilemba vipya na khanga mpya walivyoovaa majority wamevipatia wapi?
 
2025 mtajaribu? Mama anakubalika.

View attachment 3043321
Nyomi haiji bila kuwaleta wasanii kama Harmonize na wengine.Ukitaka kuamini kwamba hamtishi, wekeni tume huru ya uchaguzi, wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi na jeshi la polisi litoe fursa sawa kwa wagombea wote kujinadi bila kurusha maji ya kuwasha na mabomu kwa baadhi yao.
😀 😀 😀
 
Siku ukijua Robo tatu ya watañzania ni dependent na hawana shughuli maalumu na wengi NI jobless WALA hutoshangaa Kwa nini wamejaa kwèñye mikutano.

Watu wañajaa kwèñye mihadhara ya midahalo ya Dini sembuse sîasa.

Lisu alikuwa anajaza lakini kaambulia Kura below 2m
wale wakurugenzi wote waliosimamia uchaguzi wa msimu uliopita wajiandae kwenda kujielezea kwa sir god kwa kile walichokifanya
 
Mama mwenyewe akianza kuhutubia unapata usingizi, kapoaa!.
Hajui hata kujenga hoja na kushawishi hadhara....anategemea zaidi kushikwa mkono na 'wahuni' pamoja na wasanii aliowapeleka kutalii Korea majuzi!
 
Wanasiasa wa siku hizi hamna mvuto kabisa, yani hiyo ndo Nyomi ya kutishia Umma kitu hata mnazidiwa na HarmoRapa akiweka kiingilio cha 50k🤣
 
Back
Top Bottom