Pre GE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuwa Rais na kuwa Mgombea wa Urais ni vitu viwili tofauti, Kampeni za Urais ni balaa, Jiwe na Kiburi chake alijikuta akipiga magoti hadharani.

Kujibu Spana za mtu kama Lissu si jambo rahisi
Ubongo wa kujibu hoja upo wapi?Aliwachachafya kidogo tu,wakatoka wote kwenye mashimo na kuanza kuongeaongea bila kujibu kitu.
 
Siku ukijua Robo tatu ya watañzania ni dependent na hawana shughuli maalumu na wengi NI jobless WALA hutoshangaa Kwa nini wamejaa kwèñye mikutano.

Watu wañajaa kwèñye mihadhara ya midahalo ya Dini sembuse sîasa.

Lisu alikuwa anajaza lakini kaambulia Kura below 2m
 
Wamekuja wapate chochote, hali ngumu huko. Wanawajua ccm nyakati hizi, wataambulia yale malonya ya t-shirt, khanga. Ahadi hewa washazoea..
Sisy upo? 😀
Hii nchi tunatakiwa wananchi tujikomboe wenyewe tu.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…