Pre GE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wacha aongoze tuu mbona furesh , unadhani kuna shida viongozi wengi wa upinzani hata wakiacha siasa kiukweli wanaishi kuishi.....
 
Ila siasa bhana, afu hapo watakuja kutuambia wananchi wamemsimamisha rais 😂
 
Hofu yangu tu na Katavi msiiuze kwa waarabu..
 
Nyomi siyo Shida, Shida ni elimu na upana wa uelewa. Ukiwa upo sawasawa huwezi kwenda kwenye mkutano wa matapeli. Ujinga ni mtaji kwa tapeli
Unakuta kuna wanafunzi na walimu wao lazima waende, wana CCM wanasombwa kutoka vijijini, watumishi wa umma wanalazimishwa, lazima mkutano ujae haswa
 
Siyo kweli.
 
Unafahamu nguvu iliyotumika mpaka watu wakajaa hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…