Kwa pamoja njooni tuwape Wachaga Maua yao

Kwa pamoja njooni tuwape Wachaga Maua yao

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Hawa jamaa wanahitaji pongezi kwa namna wanaaenda kwao kurudisha kilichopatikana pamoja na kujiweka tayari kwa kuingia mwaka mwingine.

Hakika kwa misafara ya magari yanayoelekea Kaskakazini especially Moshi ni dhahira tunapasaa kusema utamaduni huu umekua kivutio kikubwa sanaa ndani na nje ya mipaaka ya Tanzania.

Nimeona Week hii Arusha ikivyoja , nimeona zaidi namna Moshi ilivyotapika, hawa ndugu wanajua kuila Disemba.

Kongele Wachaga, Kongole WaKaskazi. 🫡
 
Nimepokea kwa niaba ya wana tarakea na wanangu wote wa tarakea day high skul.
 
Back
Top Bottom