umeshapata gari? kwa busget hiyo nakupa gari ambayo hutojutia..mazda cappela..niliiifanyia full service ikiwa ni pamoja adi na kutoa shocks na kubadilisha plugs na kuweka tairi zote nne mpya..ntakupa kwa mil 4 tu nna shida na ela ya chap chap..0655784688 nichek uje ikagua..haili mafuta inatembea km 16 per litre na gari ina ubora mzuri..ni namba B ila hutojutia ni zaidi ya namba D za wehu ambao hawajui kutunza magari..
Bado unayo nikuunganishe na mteja
Carina ya milion 4 simshauri sana kununua,carina ni gari inayouzika kirahisi mno na Bei zake zipo stable mno,hyo Bei tu inaleta maswali mengi kuhusu Hali ya gari husikaAlteza, corola, carina, vitz, passo, trust me! Utapata tena zikiwa kwenye hali nzuri.
Short or long chassis?Ipo rav4 old model ipo kwenye hali nzuri sana
Namba ipi?Ipo rav4 old model ipo kwenye hali nzuri sana
Long chasis namba ASJShort or long chassis?
Mh.. KimeoMark ii, ile old ngumu kabisa ipo. Wanaiita classic. Inakufwata popote. Na hela ya mafuta nakuachia mwezi mzima