Kwa pesa hii nitapata gari ndogo?

Kwa pesa hii nitapata gari ndogo?

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
Habari wadau,

Naombeni kufahamu je, kwa 4,000,000 nitaweza kupata gari ya kutembelea? Kama ndio, itakuwa na ubora gani, aina gani na namba gani?, kama sio, nianzie bei gani kupata gari kutoka kwa mtu, maana shughuli ninazofanya zinahitaji niwe na gari private, na budget ya gari mpya sina kwa sasa.

Naomba ushauri wenu.
 
Upo wap? kuna gari inauzwa kwa bei hiyo hiyo. kuna jirani yangu hapa anaiuza. nitakutumia taarifa
 
Mkuu hii kama unataka Hata brevis utapata
 
Ipo Toyota funcargo , namba B
nichek kama utapenda.
 
Umeshapata gari? kwa busget hiyo nakupa gari ambayo hutojutia..mazda cappela..niliiifanyia full service ikiwa ni pamoja adi na kutoa shocks na kubadilisha plugs na kuweka tairi zote nne mpya..ntakupa kwa mil 4 tu nna shida na ela ya chap chap..0655784688 nichek uje ikagua..

Haili mafuta inatembea km 16 per litre na gari ina ubora mzuri..ni namba B ila hutojutia ni zaidi ya namba D za wehu ambao hawajui kutunza magari..
 
wadau mimi nina 235000 sipati iliyokwenye hali nzuri kweli ??
 
umeshapata gari? kwa busget hiyo nakupa gari ambayo hutojutia..mazda cappela..niliiifanyia full service ikiwa ni pamoja adi na kutoa shocks na kubadilisha plugs na kuweka tairi zote nne mpya..ntakupa kwa mil 4 tu nna shida na ela ya chap chap..0655784688 nichek uje ikagua..haili mafuta inatembea km 16 per litre na gari ina ubora mzuri..ni namba B ila hutojutia ni zaidi ya namba D za wehu ambao hawajui kutunza magari..

Bado unayo nikuunganishe na mteja
 
Alteza, corola, carina, vitz, passo, trust me! Utapata tena zikiwa kwenye hali nzuri.
Carina ya milion 4 simshauri sana kununua,carina ni gari inayouzika kirahisi mno na Bei zake zipo stable mno,hyo Bei tu inaleta maswali mengi kuhusu Hali ya gari husika
 
Back
Top Bottom