ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
W
Nachosema hapa hadi riba zikijakuiva tayari uchumi utakuwa umekuwa mkubwa kuweza kuhimili malipo ya riba,,kutumia nusu ya bajeti kugharamia hiyo miradi kunaua uchumi wa ndani kuliko faida itakayopatikana
Wewe unabisha nini,miradi kama hiyo ya muda mrefu inatakiwa kuwa financed kwa mikopo sijui wewe umesema uchumi gani hadi usijue kwamba we agree to disagreeWaulize wakenya jinsi wanavyokamuliwa kodi ili kulipa interests za hiyo mikopo unayoita ya muda mrefu. Jifunze uchumi kaka, kuna kipindi cha kulima na kipindi cha kuvuna, unapolima lazima ujifinge mkanda, wewe unataka muda wote use unakula kuku, jikaze mwanaume, waulize waisrael waliporudi kwao baada ya vita kuu ya pili, walipata shida sana kuijenga Israel unayoiona Leo.