Kwa pesa zetu za ndani

W Wewe unabisha nini,miradi kama hiyo ya muda mrefu inatakiwa kuwa financed kwa mikopo sijui wewe umesema uchumi gani hadi usijue kwamba we agree to disagree
Nachosema hapa hadi riba zikijakuiva tayari uchumi utakuwa umekuwa mkubwa kuweza kuhimili malipo ya riba,,kutumia nusu ya bajeti kugharamia hiyo miradi kunaua uchumi wa ndani kuliko faida itakayopatikana
 
Unajua hii mijamaa ya CHADEMA inafurahia nini kukwama kwa miradi mikubwa ya kitaifa kwa maendeleo ya watanzania. Hii mijamaa imelaaniwa kabisa. Sijui inatumiwa na mabeberu?
mabwana zao wa Yuroper walitoa fedha kuwasaidia ktk uchaguzi wana wasubiri waingie madarajani ili wagawane keki ya utajiri wa Tz mategemeo yametoweka siku baada ya siku πŸ€”
 
Awamu hii taarifa nyingi sana ni za kunjunga njunga na kuremba remba ili mambo yaoenekane yapo sawa...



Cc: mahondaw
 
Wewe umetoka wapi?, waulize hapo Kenya, mkopo waliochukua kujenga SGR umeshaiva na wameanza kulipa wakati SGR haijaanza kumudu hata kurudisha gharama za uendeshaji, wewe unaishi dunia gani?.
 
Wameamua kutoza hadi kodi ya nywele bandia/wig ilmradi mambo yaende, kule Bongo watu wanalia, sio mchezo.
unaacha kichukua kodi kwenye bidhaa zisizo za msingi unaweka bidii kuchukua kwenye madawa na bidhaa za kilimo,only in kunya land
 
unaacha kichukua kodi kwenye bidhaa zisizo za msingi unaweka bidii kuchukua kwenye madawa na bidhaa za kilimo,only in kunya land
Mnaokota Kodi ya shillingi ngapi na usione aibu kuitaja?
 
Mnaokota Kodi ya shillingi ngapi na usione aibu kuitaja?
Kodi yenu mnafanyia nini, na usione aibu kusema, hata mikopo kurudisha mnaenda kukopa ili kurudisha mikopo ya zamani. Mchina amewastukia mtashindwa kumrudishia pesa yake, kaamua kuitelekeza reli porini, uwezo wa kuimalizia hamna wakati wakenya kila mwaka wanasomewa bajeti kubwa. Failed state.
 
Kodi yenu ni Ksh 600b - budget$14b - Misahada 49% - SGR Km 50 zimewashinda GDP $60b - population 60million πŸ˜ͺπŸ˜ͺ

Kenya Kodi 1.2trillion - budget twice Tz($30b) - Misahada 5% SGR 600+ Km na inafanya Kazi - GDP $100b - population 45million 😍😍

Tanzania ni Dead State πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahahaha, pesa hainyeshwi katika makaratasi, onyesha kwanini mnashindwa kumalizia kipande cha reli toka Naivasha hadi Kisumu baada ya China kujitoa?. Hiyo pesa yenu inafanya kazi gani?. Failed state ninyi.
 
Nimekupatia data wewe unanilatia mdomo...potelea mbali baboon IQ...Reli yenu imekwamia Kibaha na uko na guts za kuniambia mambo ya Kisumu, mkwamue Kwanza hiyo ya Kibaha. bure kabisa takataka meffi ya kuku Dead State kinyesi nation.πŸ˜‚
 
Nimekupatia data wewe unanilatia mdomo...potelea mbali baboon IQ...Reli yenu imekwamia Kibaha na uko na guts za kuniambia mambo ya Kisumu, mkwamue Kwanza hiyo ya Kibaha. bure kabisa takataka meffi ya kuku Dead State kinyesi nation.[emoji23]
Acha ukichaa wako, utajisifiaje una pesa wakati miradi unakopa, na unapokosa mikopo miradi mnaitelekeza porini. Ninyi ni wazee wa kupika data, hatutaki data, tunataka kuona miradi inayofanywa na hiyo pesa, Hahahahaha, Hahahahaha. GDP ya kupika hiyo, wachina wameistukia.
 
Wacha longolongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ SI yenu mnaitelekeza Kibaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio, hapa ni Kibaha. Tano tenaaa
Kibaha haipo Kenya...SGR Kenya 600Km 4million passengers so far hata imeizidi JNIA inayichezea 2million passengers.

SGR Tz Kibaha 10km from Dar 0million passengers so far

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…