Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Hii ni operesheni iliyofanya na ndege vita za iran dhidi ya kambi hatari kuliko zote za majeshi ya Iraq iyo kambi ililindwa na mifumo mikali kutoka urusi na baadh yake kutoka Marekani lakin kwa kutumia utaalamu wao marubani wa iran walishambulia hiyo kambi bila kupoteza hata ndege moja ndege zili shiriki hii operesheni ni f 14 ,f 5, na ndege mbili za kuongezea mafuta.