Kwa picha haya hapa ndo majengo ya mwanamume mwenzetu anayeitwa Trump Donald trump

Kwa picha haya hapa ndo majengo ya mwanamume mwenzetu anayeitwa Trump Donald trump

Alifilisika akaanza moja?

Huyo kabalikiwa
Sio tu kuanza Moja, alikua na madeni balaa.

Soma hichi kitabu ndio utamwelewa ipasavyo
Screenshot_2025-01-02-14-56-56-62_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Mbona ni kama ulitaka kujenga hoja vile kupitia hayo majengo?

Hebu funguka, kuyaangalia tu haitufaidii kitu.
 
Mtu na familia yako pamoja na watumishi wenu wote wakiwemo walinzi, wapishi, matabibu, wafanya usafi, makuhani, mafundi washauri nasaha, wanasheria, nk,nk. wanaweza kufika jumla ya watu 100 lakini wanaishi kwenye mjumba wenye vyumba elfu mbili
 
Siyo watoto tuu, eti ana mke mmoja tuu! Hàya ni matumizi mabaya kabisa ya fedha.
Sijui ametafuta hela za kazi gani?
Eti mzabzab ?
Kabisa mkuu hela zote alafu una mke mmoja sii bora tuu akate dudu lake.
Matumizi ya hela ni kugegeda mbususu. Kwanza unasambaza upendo maana wanawake wanape da wanaune wenye mihela
 
Back
Top Bottom