Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wa Afya Mh. Mponda (Mb) wa kwanza kushoto mwenye suti nyeusi akitembezwa kuangalia huduma za afya katika hospitali kubwa kuliko zote na ya kisasa ya Muhimbili Dar-es-Salaam.
Hapo tunaona Hospitali ya Taifa ilivyofurika na wagonjwa wakiwa wamelala chini kwa kukosa vitanda na wodi za kutosha.
Katika uchaguzi CCM iliahidi kuboresha zaidi huduma na kuongeza huduma za tiba za kisasa zaidi kwa Watanzania. Hapo waziri na timu yake lazima watakuwa wamewasili na magari ya bei mbaya ( mashangingi) huku wagonjwa na watoa huduma za afya kama madaktari, manesi, wafamasia n.k wakiwa na wakati mgumu.
http://api.ning.com/files/6HcaJW81b...D9QTq7ge6IGxDUediD8RdiC9ypWACCceVP/Wodini.jpg
Hii ndiyo tanzania ya karne ya 21 and 50 years after Uhuru na ni Hospital ya taifa. Kweli CCM wajivunie nini? shule mbovu, hospital Mbovu, Vyuo ovyo, barabara ovyo mpaka za Dar anakopita Rais. Can CCM stand tall and say they deserve to lead this government? Huko Mwananyamala ni balaa usiseme where should we go?
watu wamelala chini huku wakuu wanatembea na suti na umoka wa hali ya juu, too bad...
Waziri wa Afya Mh. Mponda (Mb) wa kwanza kushoto mwenye suti nyeusi akitembezwa kuangalia huduma za afya katika hospitali kubwa kuliko zote na ya kisasa ya Muhimbili Dar-es-Salaam.
Hapo tunaona Hospitali ya Taifa ilivyofurika na wagonjwa wakiwa wamelala chini kwa kukosa vitanda na wodi za kutosha.
Katika uchaguzi CCM iliahidi kuboresha zaidi huduma na kuongeza huduma za tiba za kisasa zaidi kwa Watanzania. Hapo waziri na timu yake lazima watakuwa wamewasili na magari ya bei mbaya ( mashangingi) huku wagonjwa na watoa huduma za afya kama madaktari, manesi, wafamasia n.k wakiwa na wakati mgumu.
http://api.ning.com/files/6HcaJW81b...D9QTq7ge6IGxDUediD8RdiC9ypWACCceVP/Wodini.jpg
Waziri wa Afya Mh. Mponda (Mb) wa kwanza kushoto mwenye suti nyeusi akitembezwa kuangalia huduma za afya katika hospitali kubwa kuliko zote na ya kisasa ya Muhimbili Dar-es-Salaam.
Hapo tunaona Hospitali ya Taifa ilivyofurika na wagonjwa wakiwa wamelala chini kwa kukosa vitanda na wodi za kutosha.
Katika uchaguzi CCM iliahidi kuboresha zaidi huduma na kuongeza huduma za tiba za kisasa zaidi kwa Watanzania. Hapo waziri na timu yake lazima watakuwa wamewasili na magari ya bei mbaya ( mashangingi) huku wagonjwa na watoa huduma za afya kama madaktari, manesi, wafamasia n.k wakiwa na wakati mgumu.
Waliolals chini sio watu ni mbwa wanaonuka ndio maana jamaa wanaangalia chini wasichafue viatu vyao
Sasa hivi wamejifunza la ziada huko Ivory Cost, Tume ikiwapiga chini watatumia mahakama ya katiba kuwatangaza na kuapishwa. Kweli tunademokrasiaZamani hata mimi nilikuwa nadhani ni hivyo (kwenye red), lakini kumbe hata tusipowachagua WATACHAKACHUA TU!! Inauma sana wanapotawala kwa mabavu wakati sisi hatuwataki!