Kwa picha hii Chama ndio anastahili kusema Than You kwa Simba na si vinginevyo

Kwa picha hii Chama ndio anastahili kusema Than You kwa Simba na si vinginevyo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
FB_IMG_16449559598026362.jpg
 
maisha hubadirika, kumtoa katika hali hiyo hakuipi simba uhalali wa maisha yake ya mbele

kwamba ukimtoa mtu kwenye hali mbaya basi ndo uwe mmiliki wa maisha yake
 
Ameaga vizuri sana..
Simdai wacha aende utopoloni akastaafu...
Ni kweli, amekuwa muungwana sana. By the way, kupata sh. Milioni 776 kwa mwaka mmoja tu kutoka Yanga ni kipato kikubwa sana, yaani sh. 380M za signing fee plus sh. 396M za salary, hapo bado posho nyingine pamoja na kusomeshewa watoto. Kwa kweli acha akazichukue tu ili aweze kufaidi kipaji chake
 
Khaaa ma utopolo majinga kweli aisee...ndo yanampa mshahara mkubwa hivyo kisa tuu wampate...ujinga aisee
 
Simba tunajua Mpira kuliko utopolo.
Ingekuwa wao sasa.vita kila sehemu ila Simba walaa wewe nenda tu
Sasa vita gani hapo ingetokea! Chama akishamaliza mkataba! Na timu yenu inahitaji kujisafisha ili kurudi katika ubora wake!

Chama ni kati ya wachezaji ambao hawakuwa na wakati mzuri msimu uliomalizika kiasi cha kufikia hatua ya kusimaishwa na klabu! Chama ameichezea simba kwa misimu sita! Kwa hiyo lilikuwa ni jambo sahihi kwake kutafuta changamoto mpya.

Kiufupi Chama hana tofauti na Jonas Mkude mliyemuacha msimu uliopita.
 
Back
Top Bottom