mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwani mayele na feisal ilikuwaje?Acha ya morrison.Sasa vita gani hapo ingetokea! Chama akishamaliza mkataba! Na timu yenu inahitaji kujisafisha ili kurudi katika ubora wake!
Chama ni kati ya wachezaji ambao hawakuwa na wakati mzuri msimu uliomalizika kiasi cha kufikia hatua ya kusimaishwa na klabu! Chama ameichezea simba kwa misimu sita! Kwa hiyo lilikuwa ni jambo sahihi kwake kutafuta changamoto mpya.
Kiufupi Chama hana tofauti na Jonas Mkude mliyemuacha msimu uliopita.
Nyie mchezaji amalize mkataba au avunje mkataba kama bado mnamtaka anakuwa adui yenu