mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwani mayele na feisal ilikuwaje?Acha ya morrison.Sasa vita gani hapo ingetokea! Chama akishamaliza mkataba! Na timu yenu inahitaji kujisafisha ili kurudi katika ubora wake!
Chama ni kati ya wachezaji ambao hawakuwa na wakati mzuri msimu uliomalizika kiasi cha kufikia hatua ya kusimaishwa na klabu! Chama ameichezea simba kwa misimu sita! Kwa hiyo lilikuwa ni jambo sahihi kwake kutafuta changamoto mpya.
Kiufupi Chama hana tofauti na Jonas Mkude mliyemuacha msimu uliopita.
Ebu jaribu kufikiri chama angekuwa yanga alafu akaamua kuhamia Simba balaa lake lingekuwaje.Wanamtupia na majini
Mayele aliondoka. Hapakuwa na keleleEbu jaribu kufikiri chama angekuwa yanga alafu akaamua kuhamia Simba balaa lake lingekuwaje.
Na jezi yake ingechomwa