Kwa picha hii, kumbe mwenzetu alijua matokeo mapema.

Kwa picha hii, kumbe mwenzetu alijua matokeo mapema.

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Mtanzania aliyeko kwenye picha hapa chini alikuwa anatuinjoi tu, kumbe mwenzetu alijua mapema tutapigwa miradi 3 mikubwa (stiglas, Sgr na Drimlaina) na jirani zetu Kenya.
tapatalk_1561691724352.jpeg
 
Vita ya mashoga in Mungu mwenyewe akiamua kutia kiberiti kama ile sodoma na gomora
Ila still mashoga hawataisha
 
Bashite angeshinda ningeshangaa sana haijawahi tokea bashite akashinda.
 
Back
Top Bottom