Kwa press conference ya Leo, hivi Msolla na Mwakalebela wana kazi gani hasa pale Yanga?

Unateseka kama mimi ukiwa wapi?
 
Siku akijiondoa G.S.M ndani ya Yanga, sekunde hiyo hiyo Manara na Senzo wanatokomea kusikojulikana.
 
Mkuu najua kabisa unajua unachoandika. Najua unadhamiria kabisa kupotosha kwasababu unawataja (Msolla na Mwakalebela) ni Mwenyekiti na Makamu wake ndani ya Yanga. Hawa hawakuwepo kwenye press conference. Je, Simba waliwakilishwa na Mwenyekiti wao?
 
At least makolo mnajua kama msola ndio mwenyekiti wa Yanga,haya rais wenu mbona akuwepo na uulizi au sababu hata rais wa mikia humjui shughuli zote anamaliza babra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…