ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
hio sio shida yetuYanga hakuna timu pale sema uzembe wa Mugalu ndio imeonekana nao wana timu hadi wamebahitisha kikombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hio sio shida yetuYanga hakuna timu pale sema uzembe wa Mugalu ndio imeonekana nao wana timu hadi wamebahitisha kikombe
Unateseka kama mimi ukiwa wapi?Leo kwenye press conference nimeona Ceo wa Simba na afisa habari wakiwakilisha klabu yao ya Simba, kwa upande wa GSM walikuwepo Haji Manara, Senzo Mazingiza na afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli.
Kwa kweli nashindwa kuelewa kwann shughuli za Yanga siwaoni Msolla wala Mwakalebela ambao ndio viongozi halali wa Yanga kwa mujibu wa katiba, hao akina Senzo na Manara ni wawakilishi wa GSM ndani ya Yanga, je, nani analinda maslahi ya Yanga kwa sasa, je kwa vile Yanga wanafanya vzr basi mashabiki na wanachama hawaoni sababu ya kuhoji lolote, kwamba wao furaha ni matokeo ya ushindi tu?
Kwann waandishi wa habari hasa popoma Kitenge hawamuulizi Msolla na Mwakalebela maswali haya, kwamba kazi yao ni kufungua mashina, vikao na kufunga vikao? Wana faida gani ya kuwepo Yanga sasa, je hawaoni kuwa wakiwepo au wasiwepo Yanga haiwezi kutetereka? Kwann GSM ameteka madaraka ya akina Msolla, kwann Bumbuli anapewa nafasi ndogo au anadharaulika sana Yanga kuliko zungu pori?
Siku akijiondoa G.S.M ndani ya Yanga, sekunde hiyo hiyo Manara na Senzo wanatokomea kusikojulikana.Leo kwenye press conference nimeona Ceo wa Simba na afisa habari wakiwakilisha klabu yao ya Simba, kwa upande wa GSM walikuwepo Haji Manara, Senzo Mazingiza na afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli.
Kwa kweli nashindwa kuelewa kwann shughuli za Yanga siwaoni Msolla wala Mwakalebela ambao ndio viongozi halali wa Yanga kwa mujibu wa katiba, hao akina Senzo na Manara ni wawakilishi wa GSM ndani ya Yanga, je, nani analinda maslahi ya Yanga kwa sasa, je kwa vile Yanga wanafanya vzr basi mashabiki na wanachama hawaoni sababu ya kuhoji lolote, kwamba wao furaha ni matokeo ya ushindi tu?
Kwann waandishi wa habari hasa popoma Kitenge hawamuulizi Msolla na Mwakalebela maswali haya, kwamba kazi yao ni kufungua mashina, vikao na kufunga vikao? Wana faida gani ya kuwepo Yanga sasa, je hawaoni kuwa wakiwepo au wasiwepo Yanga haiwezi kutetereka? Kwann GSM ameteka madaraka ya akina Msolla, kwann Bumbuli anapewa nafasi ndogo au anadharaulika sana Yanga kuliko zungu pori?
Hata hiyo michango hawaelewi wataitumiaje in "Zungu Pori "voice.mashabiki wa topolo wenyewe hawaelewi wapowapo tu.
Leo kwenye press conference nimeona Ceo wa Simba na afisa habari wakiwakilisha klabu yao ya Simba, kwa upande wa GSM walikuwepo Haji Manara, Senzo Mazingiza na afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli.
Kwa kweli nashindwa kuelewa kwann shughuli za Yanga siwaoni Msolla wala Mwakalebela ambao ndio viongozi halali wa Yanga kwa mujibu wa katiba, hao akina Senzo na Manara ni wawakilishi wa GSM ndani ya Yanga, je, nani analinda maslahi ya Yanga kwa sasa, je kwa vile Yanga wanafanya vzr basi mashabiki na wanachama hawaoni sababu ya kuhoji lolote, kwamba wao furaha ni matokeo ya ushindi tu?
Kwann waandishi wa habari hasa popoma Kitenge hawamuulizi Msolla na Mwakalebela maswali haya, kwamba kazi yao ni kufungua mashina, vikao na kufunga vikao? Wana faida gani ya kuwepo Yanga sasa, je hawaoni kuwa wakiwepo au wasiwepo Yanga haiwezi kutetereka? Kwann GSM ameteka madaraka ya akina Msolla, kwann Bumbuli anapewa nafasi ndogo au anadharaulika sana Yanga kuliko zungu pori?
Kitimoto alishasema mwenye akili yanga ni Sunday Manara na Kikwete