Kwani shida Iko wapi?Hayo ni madhara ya mlengo wa Siasa za Ujamaa,
Siasa za Kidumu Chama Cha Mapinduzi, na ...
Zidumu fikira za Mwalimu... (Hazipingwi)
Alafu yote hayo yakaungwa na Uswahili.
N.B Uswahili ni uwasilishaji wa hoja kwa kujiamini bila utafiti thibitishi wa yanayoongelewa.
(Lacking Objectivity).
(mere words).
Mfano kusema "Kuupiga mwingi", ni Uswahili.
Shida iko Tanzania!Kwani shida Iko wapi?
Wa kusifia, waache wasifie, hii ni nchi huruTumeanza tabia ya kumsifia kiongozi mkuu wa nchi kwa kila jambo hata yale ya kawaida kabisa. Kule kwa Kim, Korea kaskazini hali ndio hii kwamba ni sifa tuu na sifa isipotolewa mtu anaweza kuadhibiwa hata kufikia adhabu ya kifo na wote wakaona kawaida.
Sasa hata mshahara ukiongezwa kidogo sifa ni nyingi kwa Rais lakini bei zikipanda haya ya nyanya lawama ni wengine hadi Urusi.
View attachment 2226271View attachment 2226272
Inawezekana meejesho toka kwa matajiri wa Royo tuwa.Tumeanza tabia ya kumsifia kiongozi mkuu wa nchi kwa kila jambo hata yale ya kawaida kabisa. Kule kwa Kim, Korea kaskazini hali ndio hii kwamba ni sifa tuu na sifa isipotolewa mtu anaweza kuadhibiwa hata kufikia adhabu ya kifo na wote wakaona kawaida.
Sasa hata mshahara ukiongezwa kidogo sifa ni nyingi kwa Rais lakini bei zikipanda haya ya nyanya lawama ni wengine hadi Urusi.
View attachment 2226271View attachment 2226272
Tumeanza tabia ya kumsifia kiongozi mkuu wa nchi kwa kila jambo hata yale ya kawaida kabisa. Kule kwa Kim, Korea kaskazini hali ndio hii kwamba ni sifa tuu na sifa isipotolewa mtu anaweza kuadhibiwa hata kufikia adhabu ya kifo na wote wakaona kawaida.
Sasa hata mshahara ukiongezwa kidogo sifa ni nyingi kwa Rais lakini bei zikipanda haya ya nyanya lawama ni wengine hadi Urusi.
View attachment 2226271View attachment 2226272