Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Tumeanza tabia ya kumsifia kiongozi mkuu wa nchi kwa kila jambo hata yale ya kawaida kabisa. Kule kwa Kim, Korea kaskazini hali ndio hii kwamba ni sifa tuu na sifa isipotolewa mtu anaweza kuadhibiwa hata kufikia adhabu ya kifo na wote wakaona kawaida.
Sasa hata mshahara ukiongezwa kidogo sifa ni nyingi kwa Rais lakini bei zikipanda haya ya nyanya lawama ni wengine hadi Urusi.
Sasa hata mshahara ukiongezwa kidogo sifa ni nyingi kwa Rais lakini bei zikipanda haya ya nyanya lawama ni wengine hadi Urusi.