Kwa Propaganda za aina hii tutaizidi Korea Kaskazini haraka

Simba na Yanga huwa ni mali ya chama na Serikali, zilianzishwa kwa malengo maalum..
Simba na Yanga zimeanza kabla ya vita kuu ya pili.
Na huo hapo juu ni mfano tuu, kujipendekeza sasa hivi ni kila mahali
 
Ilitakiwa 23% × 7 years ndiyo tungepata % ya kushangilia.
 
Nimeanza kushtuka, inatumika nguvu nyingi kuitangaza hii asilimia 23.
Nia itakua ovu.
Nategemea kuishtaki kampuni ya Tigo kwa usumbufu wanaonitumia ma meseji ya hovyo bila ridhaa yangu. Hizo nia ovu wanaweka hadi kwenye mitandao ya simu
 
Wajinga ndio waliwao ...kama chifu mpuuzi kashindwa kusimamia punguzo la bei ya kuungiwa umeme ambalo alilinadi hadharani na kushindwa kusimamia elimu bure sasa wajinga wanatoa wapi hoja ya kuchekelea huu uhuni wa sa100 wa kuchapa pesa mpya kwa ajili ya kupandisha mishahara, tutegemee anguko kubwa la thamani ya fedha yetu very soon.
 
Hapo hata mshahara wenyewe bado haujatoka kuona kama ni kweli! Hawa chawa ndio wanaoharibu viongozi wakajisahau
 
Kwa hii hatua walofikia watanzania ya kusifia Hadi kivuli inahitajika KATIBA kwa haraka sana.
Hii kwa kizungu inaitwa brown nosing. Yaani unatoa takataka za bosi wako puani kwake kwa kutumia ulimi wako bila kuona kinyaa!kwa kiswahili ni kujikomba kupita heshima yako!
 
Hapo hata mshahara wenyewe bado haujatoka kuona kama ni kweli! Hawa chawa ndio wanaoharibu viongozi wakajisahau
Wanasifia kupita kiasi hadi sasa wanamtusi bila kujua.
Hivi tunampetipeti kisha akilainika tunamfanyaje? Haya ni matusi ya dhahiri sana kwa mama, mke wa mtu na Kiongozi wa nchi. Lakini kwao wanaona ni sifa kwake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana, kama hutaki jinyonge
 
Unaikumbuka hii ya watu kuzimia huku wameng'ang'ania mifuko yao ya Sangara wakati wa kuaga Jiwe ?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…