Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nategemea kuishtaki kampuni ya Tigo kwa usumbufu wanaonitumia ma meseji ya hovyo bila ridhaa yangu. Hizo nia ovu wanaweka hadi kwenye mitandao ya simuNimeanza kushtuka, inatumika nguvu nyingi kuitangaza hii asilimia 23.
Nia itakua ovu.
Propaganda za unafiki[emoji38][emoji38][emoji38]
Wajinga ndio waliwao ...kama chifu mpuuzi kashindwa kusimamia punguzo la bei ya kuungiwa umeme ambalo alilinadi hadharani na kushindwa kusimamia elimu bure sasa wajinga wanatoa wapi hoja ya kuchekelea huu uhuni wa sa100 wa kuchapa pesa mpya kwa ajili ya kupandisha mishahara, tutegemee anguko kubwa la thamani ya fedha yetu very soon.Tumeanza tabia ya kumsifia kiongozi mkuu wa nchi kwa kila jambo hata yale ya kawaida kabisa. Kule kwa Kim, Korea kaskazini hali ndio hii kwamba ni sifa tuu na sifa isipotolewa mtu anaweza kuadhibiwa hata kufikia adhabu ya kifo na wote wakaona kawaida.
Sasa hata mshahara ukiongezwa kidogo sifa ni nyingi kwa Rais lakini bei zikipanda haya ya nyanya lawama ni wengine hadi Urusi.
View attachment 2226271View attachment 2226272
Hapo hata mshahara wenyewe bado haujatoka kuona kama ni kweli! Hawa chawa ndio wanaoharibu viongozi wakajisahauTumeanza tabia ya kumsifia kiongozi mkuu wa nchi kwa kila jambo hata yale ya kawaida kabisa. Kule kwa Kim, Korea kaskazini hali ndio hii kwamba ni sifa tuu na sifa isipotolewa mtu anaweza kuadhibiwa hata kufikia adhabu ya kifo na wote wakaona kawaida.
Sasa hata mshahara ukiongezwa kidogo sifa ni nyingi kwa Rais lakini bei zikipanda haya ya nyanya lawama ni wengine hadi Urusi.
View attachment 2226271View attachment 2226272
Mama Anapenda Haya Mambo!Jamvi la habari [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2226407
Hii kwa kizungu inaitwa brown nosing. Yaani unatoa takataka za bosi wako puani kwake kwa kutumia ulimi wako bila kuona kinyaa!kwa kiswahili ni kujikomba kupita heshima yako!Kwa hii hatua walofikia watanzania ya kusifia Hadi kivuli inahitajika KATIBA kwa haraka sana.
Wanasifia kupita kiasi hadi sasa wanamtusi bila kujua.Hapo hata mshahara wenyewe bado haujatoka kuona kama ni kweli! Hawa chawa ndio wanaoharibu viongozi wakajisahau
Unaikumbuka hii ya watu kuzimia huku wameng'ang'ania mifuko yao ya Sangara wakati wa kuaga Jiwe ?Tumeanza tabia ya kumsifia kiongozi mkuu wa nchi kwa kila jambo hata yale ya kawaida kabisa. Kule kwa Kim, Korea kaskazini hali ndio hii kwamba ni sifa tuu na sifa isipotolewa mtu anaweza kuadhibiwa hata kufikia adhabu ya kifo na wote wakaona kawaida.
Sasa hata mshahara ukiongezwa kidogo sifa ni nyingi kwa Rais lakini bei zikipanda haya ya nyanya lawama ni wengine hadi Urusi.
View attachment 2226271View attachment 2226272
Inaonyesha hujui aina za kuzimia wengine wanakua bado conscious ila nguvu hawanaUnaikumbuka hii ya watu kuzimia huku wameng'ang'ania mifuko yao ya Sangara wakati wa kuaga Jiwe ?
View attachment 2227457
Mbona umebadilisha avatar picha ya jet fighter tuliyozoea?