Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Mtu anaetegemea maisha mengine baada ya kifo akachekiwe huko mirembe. Maisha ni haya haya yakiondoka ni kama tu inzi.
 
Hakuna raha hapo dini ni mambo ya kusadikika hebu maliza wiki mbili unalala kwenye kifua cha mke wako bila kupumzika afu uje utuletee mlejesho hapa
 
Nyie magalatia mashamba Sana yaan dunian tuishi tunakatazwa tusizini maisha mchaka mchaka twende peponi tena tufanye ibada ya kuimba tuu
Mnashangaa mabikira hao suleimani alikua nao buku....ije kua sisi em tuacheni basi
 
Kuna Allah hapo

Kuna Allah hapo.
Hi wewe na akili yako timamu unakubali kushiriki swala pamoja na Majini ?
 
Kuingizwa chaka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…