Pre GE2025 Kwa Rais Samia kujifanya "Chura kiziwi" ni dharau kwa watanzania. Kwani yupo Ikulu kwa maslahi ya akina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leta ushahidi ni nani anavunga salama sululu mkono? Hayupo isipokuwa kiwete na genge lake kina kin@
 
Suala la Msingi ni kuweka kwenye katiba kipengele cha kumshitaki rais anapofanya kinyume na misingi ya katiba au nchi, mfano kuweka rehani mali za nchi
 
Mnataka ajibu matusi?
Ukiona mtu anatukana ni Dalili kuwa ameishiwa
1: Kaishiwa Majibu--Hana majibu na maswali ni magumu(Hana mantiki)
2: Uwezo wa kufikiri umeisha (Lugha ya ukali inatumika kama defency mechanism aogopwe)
3: Hajui analofanya, Utaelezeaje kitu husichokijua
 
Watanganyika hakikisheni huyu dalali na kibaraka wa waarabu harudi madarakani baada ya October 2025 kabla hajawaingiza kwenye shimo kubwa zaidi ya hili tuliomo.
 
Kabla sijasoma jina nilipo soma maoni haya nikajua ni bby wake ephen_ kwenye uchawa wake 😁😂
 
Nyerere katika utawala wake alifuta dewmokrasia ya vyama vingi, Mwinyi alipochukuwa madaraka akaamuwa kurudisha vyama vingi licha ya Watanzania walio wengi kupiga kura ya kukataa vyama vingi.

Unalijuwa hilo?
Nyerere hakuwa kiongozi wa viwango vya kupigiwa mfano. Alikuwa moja ya madikteta wabaya sana. Ni vile tu alitawala enzi za giza.

Kwahiyo siyo kila alichofanya Nyerere kinafaa kutumika kama rejea.
 
Yeye ameziba masikio Kwa sababu hakuna mtanzania hata mmoja aliyemchagua isipokuwa amerithishwa urithi kutokana na katiba mbovu iliyopendekezwa na wabunge wa chama kimoja Kwa maslahi Yao binafsi na siyo ya umma.hivyo,ni halali yake kuziba.lakini wtz tukiungana hayo masikio yake tutayazibua hata kwa fimbo.
 
Mataga on fleek,jitahidi kuandika kiswahili kwa ufasaha
Ana=❌
Hana=✅
 
Asantee sana🙏
 
Nipo toka utawala wa Nyerere sasa hivi ni mstaafu. Sijawahi kuona hata siku moja watu wakisema maisha ni mepesi.

Kila siku watu husema bora ya jana kuliko ya leo.

Huyu Samia mnayembeza mtakuja kumkumbuka sana. Mark this post
Hatuwezi kumkumbuka n'goo labda kwa kutupoteza
 
Wewe ni mjinga kweli Urais ni ajira na ajira ni kwa maslahi ya Rais na familia yake siyo maslahi yako na famila yako tafuta ajira na wewe yenye maslahi kwako na familia yako,acha uninga jingeze
Wewe ndiyo lijinga sana wewe
Utumishi au utumwa au ajira
Ni kwa maslahi ya aliyekuajiri suala la wewe unalipwa nini ni baada ya vigezo na masharti kuzingatiwa leo siyo faida yako wewe na familia bado kwa faida ya boss wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…