Kwa ramani hii mkoa wa Chato utatokea wapi?

Kwa ramani hii mkoa wa Chato utatokea wapi?

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,038
Reaction score
8,929
Hebu tulinganishe ukubwa wa mikoa mbalimbali tushauri mikoa inayotakiwa kugawanywa.
FB_IMG_16244452869841777.jpg
 
Aisee! Asante kwa kuja na kielelezo cha ramani. Hata huko TAMISEMI hebu waliangalie hili.

Kuna mikoa mikubwa kuliko hiyo wilaya ya Chato.

Tutaitumia hii ramani kupinga uanzishwaji wa mkoa wa Chato!
Kweli mkuu
 
Mikoa inayotakiwa kiuhalisia kukatwa n hyo morogoro tabora hata sngda pia n kubwa sana sio ako kamtaa ka chato kuna clip cjui alkua n dc au mkurugenz wa wap almwomba mwenye chatle yake kuugawa mkoa wa singda akamjbu yan nngeweza tanzania ingekua na mikoa miwil tu mana garama za kukata mkoa n kubwa lazma utoe ofs za mkoa huska na mkoa mpya lazma utoe ofc za wilaya magar pamoja na watumish sasa sjui alsahau vp kuja na hoja ya kuipa chatle sifa ya kua mkoa
 
Ngoja tusubiri maajabu. Tuone wilaya inapokuwa mkoa.
CCM ni zaidi ya kansa.
 
Zanzibar ndio hiyo tuliyogawana nayo pesa ya sherehe za muungano sawa
 
Hebu tulinganishe ukubwa wa mikoa mbalimbali tushauri mikoa inayotakiwa kugawanywa. View attachment 1828539
Geita na shinyanga iwe mkoa mmoja,Mwanza na simiyu mkoa mmoja,njombe na Iringa iwe mmoja pia,
Na hii biashara ya kuigawa nchi mpaka lini?lazima tuwe na kikomo,wananchi wakiongezeka wanataka shule,hospitari,nyumba,sio maeneo ya watawala.
 
Sijajua kwanini Mwendazake alikazania kuipandisha hadhi Chato kwa kasi namna ile, kwa jicho la mbali nik kama Chato ilikuwa inakwenda kudai mamlaka kamili vile[emoji38][emoji28][emoji23][emoji1787]kama maswahiba Burundi na Rwanda
[emoji1][emoji1][emoji1] chato ilikuwa inaenda kuwa nchi ya kifalme Kama ya mswati, mfalme jiwe wa chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tulinganishe ukubwa wa mikoa mbalimbali tushauri mikoa inayotakiwa kugawanywa. View attachment 1828539
Kama ni kutokana na ukubwa wa eneo basi Dar isingekuwa mkoa au Zanzibar isingekuwa na mikoa mitano. Wilaya ya Chato ina watu wengi sana ingawaje ina eneo dogo na muunganiko wa wilaya nne zinazotegemewa kuunda mkoa yaani Ngara, Chato, Kakonko na Biharamulo zina idadi ya watu zaidi ya milioni moja. Kuna mikoa ina idadi ya watu chini ya laki nane kama Lindi na Katavi.
 
Aisee! Asante kwa kuja na kielelezo cha ramani. Hata huko TAMISEMI hebu waliangalie hili.

Kuna mikoa mikubwa kuliko hiyo wilaya ya Chato.

Tutaitumia hii ramani kupinga uanzishwaji wa mkoa wa Chato!
Kwa maelezo yako ya kuangalia ukubwa wa eneo Dar isingekuwa mkoa au Zanzibar isingekuwa na mikoa mitano. Na kama wanaangalia idadi ya watu na uchumi au mapato ya eneo husika basi Chato inasitahili kuwa mkoa.
 
Ili kuanzisha mkoa wa Chato unatakiwa uwe na kakili pungufu.
Kama wanakizi vigezo kwanini isiwe mkoa? mbona Dar eneo dogo lakini ni mkoa au Zanzibar ina eneo dogo lakini ina mikoa mitano.
 
Back
Top Bottom