Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigezo vya kuwa mkoa unavijua?Tabora, Lindi na Morogoro ndio inatakiwa kugawanywa.
Yaani Chato haikuwa na sifa ya kuwa hata Wilaya.Vigezo vya kuwa mkoa unavijua?
Kuna vigezo vinavyotumika na si kuomba na kupewa tu, kama wanakidhi vigezo watapewa kama hawakidhi hawatapewa, kwanini kuanza kupiga ramli na kubishana wakati kuna vigezo au vipimo vinavyotumika kugawa mikoa. Wakati mwingine tunatumia nguvu nyingi kubishana bila kutumia busara na hekima wakati kuna vigezo vya kugawa mikoa.Kwakweli Ni Kama kuchezea Kodi tu
Kwa vigezo gani?Yaani Chato haikuwa na sifa ya kuwa hata Wilaya.
Kama ni ukubwa wa eneo basi mapori ya Selous na Serengeti yangekuwa na mikoa zaidi ya kumi.Tabora
Morogoro
Lindi
'Charite biginzi eti hom' walishaga sema.Sijajua kwanini Mwendazake alikazania kuipandisha hadhi Chato kwa kasi namna ile, kwa jicho la mbali nik kama Chato ilikuwa inakwenda kudai mamlaka kamili vile[emoji38][emoji28][emoji23][emoji1787]kama maswahiba Burundi na Rwanda
🤣'Charite biginzi eti hom' walishaga sema.
Kwani mkuu wewe tukikuchunuku 'usamia'
Hautajali kwenu huko sangamwalhughusha?
Population kwahiyo mikoa ni kubwa piaKama ni ukubwa wa eneo basi mapori ya Selous na Serengeti yangekuwa na mikoa zaidi ya kumi.
NaamTabora, Lindi na Morogoro ndio inatakiwa kugawanywa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijajua kwanini Mwendazake alikazania kuipandisha hadhi Chato kwa kasi namna ile, kwa jicho la mbali nik kama Chato ilikuwa inakwenda kudai mamlaka kamili vile[emoji38][emoji28][emoji23][emoji1787]kama maswahiba Burundi na Rwanda
Tena kansa ya KNgoja tusubiri maajabu. Tuone wilaya inapokuwa mkoa.
CCM ni zaidi ya kansa.
Inaandikwa ''wanakidhi''. Wewe unakazania wanakizi, wanakizi. Unamaliza darasa la saba huku hujui kuandika maneno ya kiswahili? BTW watu wengi wasiojua kuandika maneno kwa ufasaha hata hoja zao ni za kijinga kabisa.Kuna vigezo vinavyotumika na si kuomba na kupewa tu, kama wanakizi vigezo watapewa kama hawakizi hawatapewa, kwanini kuanza kupiga ramli na kubishana wakati kuna vigezo au vipimo vinavyotumika kugawa mikoa. Wakati mwingine tunatumia nguvu nyingi kubishana bila kutumia busara na hekima wakati kuna vigezo vya kugawa mikoa.
Kuna vigezo vinavyotumika kugawa mkoa na siyo kupinga bila kutoa ushahidi wa vigezo kama havijafikiwa.Hakuna TATHMINI yoyote iliyofanywa ya kugawa mkoa mmoja ukawa miwili. Ni KUKURUPUKA tu na kuwaongezea walipa kodi gharama kubwa za uendeshaji ikiwemo mishahara ya Wakuu wa Mikoa mipya na gharama nyingine chungu nzima huku wakazi wa mikoa husika wakiwa hawaoni tija yoyote ile.
Hapa tunaeleweshana vigezo vinavyotumika kugawa mkoa na si kushindana kwa kutukanana kama unavyofanya. Kama huwezi kushindana kwa hoja basi kaa kimya.Inaandikwa ''wanakidhi''. Wewe unakazania wanakizi, wanakizi. Unamaliza darasa la saba huku hujui kuandika maneno ya kiswahili? BTW watu wengi wasiojua kuandika maneno kwa ufasaha hata hoja zao ni za kijinga kabisa.
Na ramani hii tutaitumia kupinga kila namna ya upendeleo utakaotaka kufanywa kwenye hiyo kitu ya kuitwa Chato, maana ilikua inageuka kua CHATU!Aisee! Asante kwa kuja na kielelezo cha ramani. Hata huko TAMISEMI hebu waliangalie hili.
Kuna mikoa mikubwa kuliko hiyo wilaya ya Chato.
Tutaitumia hii ramani kupinga uanzishwaji wa mkoa wa Chato!