Kwa ramani nzuri za majengo mbalimbali, ushauri na msaada kuhusu ujenzi

Kwa ramani nzuri za majengo mbalimbali, ushauri na msaada kuhusu ujenzi

rasdavy

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
84
Reaction score
14
Kama unahitataji kujenga na unajiuliza wapi pa kupata plan(ramani) ya nyumba usihangaike tena. Naanda ramani ya nyumba ya ndoto yako ikiwemo mionekano ya 3d kwa kutumia softwares za kisasa.

Nitafute kwa nambari za simu 07154155854
email [email protected] kazi new1.jpgCapture jma.JPGView attachment 159315View attachment 159318View attachment 159319
 
wahandisi hatujitangazi kama wafanyabiashara nguo, kama unajua sheria za AQRB.ERB,CRB, otherwize ure not proffessional
 
wahandisi hatujitangazi kama wafanyabiashara nguo, kama unajua sheria za AQRB.ERB,CRB, otherwize ure not proffessional

du acha mzaha kwenye engineering! kama kuna mtu kakuelekesha kdogo jins ya kuset scale tu ili uanze blabla kaka utaumbuka kwenye ENGINEERING hakuna magumash
 
wahandisi hatujitangazi kama wafanyabiashara nguo, kama unajua sheria za AQRB.ERB,CRB, otherwize ure not proffessional

Mmmh kiki au ndo nyie mnakufa ata nyumba zenu hamjajenga maana hamuweki ufundi wwnu sokoni
 
biashara matangazo ......usipojitangaza nani atakujua na kuona kazi zako
 
Back
Top Bottom