Kama unahitataji kujenga na unajiuliza wapi pa kupata plan(ramani) ya nyumba usihangaike tena. Naanda ramani ya nyumba ya ndoto yako ikiwemo mionekano ya 3d kwa kutumia softwares za kisasa.
du acha mzaha kwenye engineering! kama kuna mtu kakuelekesha kdogo jins ya kuset scale tu ili uanze blabla kaka utaumbuka kwenye ENGINEERING hakuna magumash