Uchaguzi 2020 Kwa rhetoric kama hizi, uwezekano wa jina lake kutokuwepo kwenye ballot paper unazidi kuongezeka

kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

ni matusi ?
 
atajua mwenyewe na maisha yake, labda atagombea ashinde urais chadema.
 
Mtoa mada TATIZO lako ni Ile kushikishwa ukuta na wazungu...... hakika wazungu sio watu
 
Ana uhakika kapigwa na yeye? Kwanini asihisi ni kwenye chama chake? Anafikiri wote wanampenda? Je wale aliowadanganya atakuwa nao bega Kwa bega kulinda maslahi yao na wakaona uwezekano wa kushindwa ni mkubwa kuliko kushinda kama ilivyotokea, hivi mtu mwenye kazi yake angemwaga risasi zaidi ya 30, risasi moja au mbili singetosha kabisa kumrestisha in peace. Kakwaruza kwaruza mlango wa gari namlengo hasa lilikuwa hilo Bahati mbaya zikamwingia. Ati watu wanaamini [emoji2][emoji2][emoji2] Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini hilo.
 
Unajua kuwa ethiopian airlines ilipata shida ikatua kisongo airport arusha na kuhatarisha usalama wa watu sababu uwanja ulikuwa mdogo?
Tatizo ni kama hatujuani tabia, watanzania tunapenda Sana matukio, walikwenda kumshangaa.
 
Hapo kampeni sijui dirisha la kampeni likifunguliwa itakuaje
 

Huyu kukatwa jina ni lazima hana sifa. Tusubiri tu tarehe na siku
 
Mkuu,jamaa wameachia posho? Hali ngumu, tupeane taarifa
 
Kamanda umejiandikisha kupiga kura?
Sio kujiandikisha mkuu, ila kuhakiki nimehakiki. Sie wengine ni vijana wa zamani. Wewe je, utakuja tz kupiga kura? Maana sidhani kama Tanzania ina mpango wa kupigisha kura ughaibuni
 
Mkuu, hapo tusi lipo wapi??
Jina la JiWE mh. Pombe alijibambikia mwenyewe. Ngosha kwa kisukuma ni mwanaume.
We nyani huna jipya, unasumbuliwa na ukabila, pamoja na chuki kubwa mno kwa mh. Lissui
Nimesema kuna tusi?

Kama nimesema kuna tusi au matusi, naomba nionyeshe, tafadhali.

La, utakuwa umesoma lakini hujaelewa ulichokisoma kama ilivyo ada kwa nyie makamanda.

Haya nionyeshe niliposema kuna matusi.
 
Ni wewe unaona hivyo kwa sababu mtu wako hana hoja. Lissu anaongea kawaida sana. BTW unataka kujitoa ufahamu na kujifanya hujui ni nini maana ya kupigana vijembe kwenye siasa? Kuna nchi yenye kuongeza kwa wagombea wa urais wenye vijembe kama USA?
 
Ni wewe unaona hivyo kwa sababu mtu wako hana hoja. Lissu anaongea kawaida sana. BTW unataka kujitoa ufahamu na kujifanya hujui ni nini maana ya kupigana vijembe kwenye siasa? Kuna nchi yenye kuongeza kwa wagombea wa urais wenye vijembe kama USA?
Typical kamanda!

My whole point flew way above your head and you didn’t see it.

I pity you
 
Njaa mbaya sana imemfanya mleta mada kila siku aonekane kituko huku jf
 
Mtoa mada TATIZO lako ni Ile kushikishwa ukuta na wazungu...... hakika wazungu sio watu
We kamanda umekielewa kweli nilichokiandika au unafuata mkumbo tu?

Manake nyie makamanda IQ zenu zipo kwenye negatives huko 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…