Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #121
Hivi kwani nimesema kuna tusi?Mkuu, hapo tusi lipo wapi??
Jina la JiWE mh. Pombe alijibambikia mwenyewe. Ngosha kwa kisukuma ni mwanaume.
We nyani huna jipya, unasumbuliwa na ukabila, pamoja na chuki kubwa mno kwa mh. Lissui
Mimi hata siku moja siwezi kuwa mshabiki wa chama cha siasa. Mimi ni mshabiki wa ukweli, haki na uwazi. Hotuba anazotoa Lissu zina maneno ya kawaida kabisa na zinazunguzia ukweli, hali halisi na udhaifu mkubwa wa rais aliyepo sasa hivi. Ilivyo nchi yetu sasa hivi rais ni katiba, rais ni sheria, rais ni mahakama, rais ni polisi, rais ni kiongozi wa dini, rais ni kila kitu. Huwezi kuzungumzia udhaifu uliopo bila kumzunguzia na tena niseme Lissu anatumia maneno laini sana.Typical kamanda!
My whole point flew way above your head and you didn’t see it.
I pity you fools.
Mimi hata siku moja siwezi kuwa mshabiki wa chama cha siasa. Mimi ni mshabiki wa ukweli, haki na uwazi. Hotuba anazotoa Lissu zina maneno ya kawaida kabisa na zinazunguzia ukweli, hali halisi na udhaifu mkubwa wa rais aliyepo sasa hivi. Ilivyo nchi yetu sasa hivi rais ni katiba, rais ni sheria, rais ni mahakama, rais ni polisi, rais ni kiongozi wa dini, rais ni kila kitu. Huwezi kuzungumzia udhaifu uliopo bila kumzunguzia na tena niseme Lissu anatumia maneno laini sana.
Na mimi sikusema kuwa umesema anatumia matusi. Ndiyo maana nikasema mbona ni vijembe vya kawaida sana ambavyo hata nchi inayosemekana inaongoza kwa uhuru wa kujieleza kama Marekani ni kitu cha kawaida kabisa. Hata hafikii vijembe kama Sleepy Joe, Lock her up, Crazy Nancy, little Marco etc.Sawa.
Kama unaona Lissu hatumii lugha kali, hakuna neno.
Huo ni mtazamo na ‘msikio’ wako.
Ila mimi hakuna niliposema kuwa Lissu anatumia matusi.
Kwa kusema ukweli ndo kutukana? Ni rais gani mwingine wa Tz aliwahi kujenga UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA Kijijini kwake?!Alishamtukana mbona wakati anahojiwa na redio ya kenya wiki iliyopita..alisema kuanzia nyerere, mwinyi, mkapa na jk hawakujenga uwanja kwao sio hawa viongozi wa hivyo hovyo.
Sasa miaka mitatu, kakamatwa nani ndio tuungane na wewe kuwatakasa hao washukiwa?? Tuanzie hapo kwanza.Ana uhakika kapigwa na yeye? Kwanini asihisi ni kwenye chama chake? Anafikiri wote wanampenda? Je wale aliowadanganya atakuwa nao bega Kwa bega kulinda maslahi yao na wakaona uwezekano wa kushindwa ni mkubwa kuliko kushinda kama ilivyotokea, hivi mtu mwenye kazi yake angemwaga risasi zaidi ya 30, risasi moja au mbili singetosha kabisa kumrestisha in peace. Kakwaruza kwaruza mlango wa gari namlengo hasa lilikuwa hilo Bahati mbaya zikamwingia. Ati watu wanaamini [emoji2][emoji2][emoji2] Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini hilo.
Ok, nimekupata. Na ninakubaliana nawe.Na mimi sikusema kuwa umesema anatumia matusi. Ndiyo maana nikasema mbona ni vijembe vya kawaida sana ambavyo hata nchi inayosemekana inaongoza kwa uhuru wa kujieleza kama Marekani ni kitu cha kawaida kabisa. Hata hafikii vijembe kama Sleepy Joe, Lock her up, Crazy Nancy, little Marco etc.
Hapana. Rhetoric si matusi.Hivi Rhetoric maana yake ni Matusi kumbe!?
Kote nilikosoma Literature sikuwahi kusoma hivyo, wacha nikarudie tena
Wewe na wenzako mna project inferiority complex zenu tu.Jamaa anajionaga ana akili sana kumbe zwazwa
Hizo ni hisia zako tu ambazo si ajabu zinatokana na hali ya wewe kujisikia na kujiona uko duni mbele za wengine.Mkuu punguza tabia ya kujiona unajua na unaweza kila kitu .... Achana na mambo ya siasa
Sidhani kama anajiona ana akili bali ni jamaa anayesimamia sana kile anachoamini(hata kama ni cha kipuuzi).Jamaa anajionaga ana akili sana kumbe zwazwa
Ni mtu tu awaye yeyote afaidikae na mfumo unaomfaidisha ndy anaeweza kuandika hivi...wewe unakubali kwamba kupotea kwa watu na wengine kulazimishwa kukili kesi Bila kidhibiti,watu kutekwa na wengineo kupigwa risasi na mazingira yenye ushahidi!! Unadhani silencing inaweza kuwa ndy mbinu ya kistaarabu ya kufanya watu wengi washukuru unachokisema? Semeni ukweli ili tujenge Taifa lenye utu na ustaarabu uliotukuka. Mahakama zipo mtu akitenda kosa hichi ndy chombo kazi yake!! Kupoteza ama kujeruhi ama kuua ni mbinu mbaya za kutoa hukumu kwa watu Bila kujitetea.!!Hizo sababu kwako zinaonekana zina uzito lakini hukumbuki kwamba unaongelea majungu ambayo huna uhakika nayo. Huwezi ukafanya propaganda then watu wakuamini. Nyinyi furahieni kwamba Tanzania ni nchi ambayo ipo vizuri sana katika kufanya shughuli zake hivyo mpo salama na mnalala salama pamoja na familia zenu.
💯%.Sidhani kama anajiona ana akili bali ni jamaa anayesimamia sana kile anachoamini(hata kama ni cha kipuuzi).
Hali ambayo inampa kujiamini anapotetea hoja yake. Wakenya wengi wanaishi kwa mtindo huu na umewafanya kufanikiwa sana maishani.
Hii hali Watanzania wengi hatunayo, jambo ambalo linatufanya tujione WANYONGE mbele za watu. 'Inferiority complex'
(Ninadhani ndio chanzo cha watz kuitwa wanyonge..lol)
Uko sahihi kabisa ndivyo anavyojiona.Wewe jamaa unapenda sana kujiona unajua kila kitu pia kujiona upo juu, hiyo inaweza kuwa ni delusion disorder nakushauri ukapime afya ya akili
Mtu wa Kwanza muhimu aliyetakiwa kutoa maelezo ni nani? Je katoa maelezo? Kama hajatoa ni kwa nini? Msitufanye wote wapuuzi, risasi mmempiga wenyewe. Nitabaki kuwa msomaji katika huu uzi,Sasa miaka mitatu, kakamatwa nani ndio tuungane na wewe kuwatakasa hao washukiwa?? Tuanzie hapo kwanza.
Najua utaingia mitini, hutajibu.
Swali la kisheria kwako mleta Mada. Aliposema Mi sio ngosha .... Jiwe.. ulielewa Nini? Nani jiwe.Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].
Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.
Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.
Sio kujiandikisha mkuu, ila kuhakiki nimehakiki. Sie wengine ni vijana wa zamani. Wewe je, utakuja tz kupiga kura? Maana sidhani kama Tanzania ina mpango wa kupigisha kura ughaibuniKamanda umejiandikisha kupiga kura?
Aisee unajua umekula sana propaganda za Team Magufuli hadi unaona ndio ukweli. Kwa hiyo ni majungu kwamba Lissu hakupata haki yake ya kugharimiwa matibabu? Ni majungu kwamba Ummy Mwalimu alitangaza hayo niliyosema?Hizo sababu kwako zinaonekana zina uzito lakini hukumbuki kwamba unaongelea majungu ambayo huna uhakika nayo. Huwezi ukafanya propaganda then watu wakuamini. Nyinyi furahieni kwamba Tanzania ni nchi ambayo ipo vizuri sana katika kufanya shughuli zake hivyo mpo salama na mnalala salama pamoja na familia zenu.