Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #121
Hivi kwani nimesema kuna tusi?Mkuu, hapo tusi lipo wapi??
Jina la JiWE mh. Pombe alijibambikia mwenyewe. Ngosha kwa kisukuma ni mwanaume.
We nyani huna jipya, unasumbuliwa na ukabila, pamoja na chuki kubwa mno kwa mh. Lissui
Naomba nionyeshe niliposema kuna tusi, tafadhali...
Manake naona wengi wenu mnaona kama vile kuna sehemu nimesema kuna tusi.