Uchaguzi 2020 Kwa rhetoric kama hizi, uwezekano wa jina lake kutokuwepo kwenye ballot paper unazidi kuongezeka

Sio kujiandikisha mkuu, ila kuhakiki nimehakiki. Sie wengine ni vijana wa zamani. Wewe je, utakuja tz kupiga kura? Maana sidhani kama Tanzania ina mpango wa kupigisha kura ughaibuni

Aisee unajua umekula sana propaganda za Team Magufuli hadi unaona ndio ukweli. Kwa hiyo ni majungu kwamba Lissu hakupata haki yake ya kugharimiwa matibabu? Ni majungu kwamba Ummy Mwalimu alitangaza hayo niliyosema?
Halafu unatutishia, Team Magu ni ya mauaji, vitisho, hivyo hatushanngai. Bahati nzuri hata akishinda safari hii, ni ya mwisho na nina uhakika hata CCM wenyewe hawana hamu naye na hawatafanya makosa tena kuleta mtu wa aina ya Pombe
Oh yeah, kura lazima nipige.
 
Mtu wa Kwanza muhimu aliyetakiwa kutoa maelezo ni nani? Je katoa maelezo? Kama hajatoa ni kwa nini? Msitufanye wote wapuuzi, risasi mmempiga wenyewe. Nitabaki kuwa msomaji katika huu uzi,
Wangekufa wote nani angetoa taarifa na wale wanaokutwa wamekufa waga wanasubiriwa waje wafufuke siku ya kiama ndio uchunguzi uanze.! Bangi daima itabaki kuwa shida tu.
 
Hawakufa, mnawapangia kazi polisi [emoji2][emoji2][emoji2] imekula kwenu, bangi unavuta wewe na Mchomvu, Mimi naona picha ya Jani hata yenyewe siijui
 
Unakumbuka alipigwa risasi 16 .

Still anasavaivu

Hakuna awamu mpinzani alipigwa risasi huku nyuma .

Wazi wazi ndani ya makazi rasmi ya serikali na yenye CCTV

na waliompiga hawajakamatwa Hadi leo

Naomba nikukumbushe .

Ana mandate ya kuongea chochote maana anamjua adui yake .

Wewe endelea kuimba pambio

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nani anaijua idadi kamili ya hizo risasi? 2017 zilikua 32 2020 ni risasi 16 zingine hazikuingia mwilini?
On 7 September, my dear friend and former colleague, Member of Parliament Tundu Lissu, was shot as he was returning home from a parliamentary session in Dodoma, the capital of Tanzania. Gunmen sprayed his car with as many as 32 bullets, hitting him five times, in the stomach, arm and leg. Lissu was rushed to the local hospital in critical condition and, once stable, airlifted to Nairobi for the best care and protection where he is still recovering.

Showered with 16 bullets to his body in broad daylight, Tundu Lissu, Tanzania’s most outspoken MP and a vocal critic of the Tanzanian government has survived to tell the tale of an event that got him bedridden for more than 12 months.

Labda daktari hakuzihesabu vizuri siku ya kwanza, ama wanaotoa idadi ambao ni rafiki zake wanajua idadi kamili ya risasi zilizotumika.
 
Usijitoe ufahamu .

Elewa unachoelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

We jamaa unazeeka vibaya sana

Exposure yote 'USA Babby',lakini unakuwa kama 'Bushman'..
 
Hawakufa, mnawapangia kazi polisi [emoji2][emoji2][emoji2] imekula kwenu, bangi unavuta wewe na Mchomvu, Mimi naona picha ya Jani hata yenyewe siijui
Kuzunguka mbuyu kote huko ya nini? Serikali imeshindwa kujichunguza.
That's the plain and bitter truth. Period.
 
Lissu zaidi ya sheria hana jipya. Anazidiwa nguvu na kiburi cha kisomi. JPM pia sio mzuri sana kwenye siasa lakini angalau anajitahidi sana kwa kujishusha anapokuwa mbele za watu.
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

Mtaongea lugha zote this time around [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... We'll vote for TAL
 
Hakuna sababu yoyote ya kumuengua lisu zaidi ya uhuni tu
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

Imagine hapo upo ulaya lakin ufaham ni shimo la choo.We kiaz kutwa lissu utafikiri mke aliyekuacha
 
Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.

Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].

Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.

Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.

Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.

Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.

Lissu Rais ajaye , upende usipende na kwa namna yoyote , Liwalo na liwe
 
I warned y’all, albeit in a roundabout kinda way...
 
Kwahiyo hayo ni matusi?
Kuwa kiongozi wa "Hovyo hovyo" ni pamoja na kufanya vitu bila mipango madhubuti mfano kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa sehemu ambayo hauhitajiki hata kidogo, yani hakuna maana yoyote ya huo uwanja wa kimataifa kuwepo hapo!
Nyie machizi kweli, kwahiyo uwanja mnaungalia leo hamuangalia mbele kuwa una manufaa makubwa kiuchumi kwa kufunguliwa North West tourism corridor, ninyi washamba kweli sijui hata kilichowakurupusha kuomba urais ni nini
 
Nyani Ngabu namsikitikia mzee Ngabu ngalao angetumia kinga huenda labda angezaa Sokwe lenye akili
 
Back
Top Bottom