Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hahaaaa kamanda wa Lumumba leo umechafukwa1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi.
2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake.
3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia kuuziwa wanyama pori wa Tanganyika.
4. Katiba ya JMT inakanyagwa na kusiginwa . Mdee na wenzake sio wabunge wanazi wa Mbowe.
5. Pesa za watanganyika zinaibiwa na kupelekwa Kizimkazi.
We ni shwaini?Hahaaaa kamanda wa Lumumba leo umechafukwa
Naonga mkono 100% tar 23 na 24 majeshi yetu yaongeze operation safisha panyarodi dar, na wakabiliwe na washughulikiwe vikali na barabara kabisa , ili iwe fundisho kwao na kwa familia zao. Tukawatembelee ndrugu zetu hao mwananyamala hospital, temeke, amana na muhimbili wakiwa nyang'anyang'a π1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi.
2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake.
3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia kuuziwa wanyama pori wa Tanganyika.
4. Katiba ya JMT inakanyagwa na kusiginwa . Mdee na wenzake sio wabunge wanazi wa Mbowe.
5. Pesa za watanganyika zinaibiwa na kupelekwa Kizimkazi.
Na hapa uko jukwaa la siasa unafanya nini?Imani yangu na vyama vyote vya siasa iliisha. Ni walewale tu
Jeshi la wananchi lihusike Na Panya Road Kijana hebu kuwa na AdabuN
Naonga mkono 100% tar 23 na 24 majeshi yetu yaongeze operation safisha panyarodi dar, na wakabiliwe na washughulikiwe vikali na barabara kabisa , ili iwe fundisho kwao na kwa familia zao. Tukawatembelee ndrugu zetu hao mwananyamala hospital, temeke, amana na muhimbili wakiwa nyang'anyang'a π
mie sijasema Jeshi,Jeshi la wananchi lihusike Na Panya Road Kijana hebu kuwa na Adabu
Mkuu Niamini Mimi Hii kitu Haiwezekani..mie sijasema Jeshi,
nimesema hivi na nilimaanisha hivi,
kwenye January 23 na 24, majeshi yetu ya ulinzi na usalama wa inchi, wanainchi na mali zao yapanue operation ya usafi wa mazingira hadi kusafisha mapanyarodi na maporaji yanayopanga kuleta fujo, uporaji na uharibifu kwenye tarehe tajwa....
Hili ni muhimu likatekelezwa kwa nguvu zote bila huruma wala aibu bila kumuonea mtu yeyote π
Awe na akili pia.Jeshi la wananchi lihusike Na Panya Road Kijana hebu kuwa na Adabu
Pumbavu la CCMNimependa namba 4 ππ
actually this is politics,Mkuu Niamini Mimi Hii kitu Haiwezekani..
Askari wa Jeshi (Jwtz) 5000?
Maana yake anamuagiza CDF amuagize Brigedia Genaral (Brigedia Jenerali)
Kuleta Bregade in combat yaani Several Battalions in action for Just Cleaning purpose..?
Kuiweka Brigade sehemu inahitaji kuwepo Brigedia jenerali, subornates Wake kama Colonel (Kanali),Liutenants colonel (Ma Luteni kanali) kadhaa na Vyeo vingine vya chini yake ambavyo vyote vipo kwenye Chain of Commands..
Sio kitu chepesi kama Tunavyofikiria..!
Posho zao tu hatuna uwezo wa Kuzilipa kwa pamoja.. leo Tuote more than 20 Platoon kwa mambo ya kisiasa Never, Haiwezi kutokea
Labda kama kwa kuchekesha Watu ni sawa ila sio simple kama tunavyofikiria
Safi sana!actually this is politics,
and in politics nothing happens out of mere coisidence, every things are well planned, organized and executed to achieve a certain specified political objectives...
January 23-24 imo ndani ya statement hiyo, sijui mambo ya takwimu au maagizo na matamko ya vyombo mbalimbali vya dola ni katika kubuni, kupanga na kulitekeleza hili kwa umakini na umahiri ili kuyafikia malengo ya kisiasa yaliyokusudiwa π
that's it Sir,πSafi sana!
Kwa kujua Hilo!
Those are just set on point ya Political sequences!
Tone moja tu la mafuta ya taa huaribu maji yote yaliyopo ndani ya bilauri. Una hoja nzuri sana Kamanda, ila hapo uliponakshia na neno Mbowe umeharibu.1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi.
2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake.
3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia kuuziwa wanyama pori wa Tanganyika.
4. Katiba ya JMT inakanyagwa na kusiginwa . Mdee na wenzake sio wabunge wanazi wa Mbowe.
5. Pesa za watanganyika zinaibiwa na kupelekwa Kizimkazi.
Kamanda mbwakachokaPumbavu la CCM
Acha upimbiKamanda mbwakachoka