Kwa sababu ya Kocha Mpya Hersi na Dr. Mshindo Msola wataka kuzichapa. Fukuto ni kubwa sana

Status
Not open for further replies.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Chanzo kinasema kumekuwa na maneno ya chini chini hasa Dr. Mshindo Msolla akiona kama Hersi anajipigia Kampeni aje agombee nafasi ya Uenyekiti. Hivyo amekuwa kimbelembele sana kwenye mambo yanayohusu Yanga hata kama si ya Ngazi yake.

Ugomvi wao ulianzia kwenye hii picha kila mmoja akitaka awepo na Dr. Msolla akasema Mwenyekiti anakosekanaje kwenye picha. Wengine wakawa wao wanawahi picha ipigwe ndo Hersi akaamua kukaa pembeni kuepusha msongamano.

Screenshot_20201016-201625~2.png
 
Huo sio ugomvi bali kuambiana ukweli ambapo Watz wengi huchukulia kama mmoja kadhalilishwa (comment yangu itabaki hivi kama habari hii ya kweli)
 
Basi ni wasaa Sasa wa huyu mtoa hisani (GSM) wawabwagie timu yenu na mwenyekiti wenu, tuone Kama kutakuwa na nguvu ya kutembea kwa madaha. Mwenyekiti kaisadia vipi Yanga Kama sio kuigeuza Yanga sehemu ya ulaji?
 
Msolla ana faida gani na yanga zaidi ya kupokea mshahara mnono
 
Duh,ni kweli kwamba sisi Utopolo fc aka vyura tumefikia huku?
Mwambie Mwamedi atoe bilioni 20 zetu! Akizingua, mimi na mzee mwenzangu Kilomoni tutaandamana mpaka makao makuu kuja kuirudisha timu yetu mikononi mwa wanachama.
 
Watu wawili hawatengenezi maandamano, hayo ni matembezi
 
Mwambie Mwamedi atoe bilioni 20 zetu! Akizingua, mimi na mzee mwenzangu Kilomoni tutaandamana mpaka makao makuu kuja kuirudisha timu yetu mikononi mwa wanachama.
Simba inapata kila kitu na wana simba tumemwelewa ,mkileta vurugu we na Kilomoni tutawatia sero tena kama mwaka juzi
 
Basi ni wasaa Sasa wa huyu mtoa hisani (GSM) wawabwagie timu yenu na mwenyekiti wenu, tuone Kama kutakuwa na nguvu ya kutembea kwa madaha. Mwenyekiti kaisadia vipi Yanga Kama sio kuigeuza Yanga sehemu ya ulaji?

Neno hili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom